Vitu vya Kichina

Kelvin Joseph

Member
Mar 22, 2011
11
0
Dada mmoja kutoka sehemu fulani alitembea na mchina mmoja ili apate mtoto wa kichina. Akapata mimba akajifungua mtoto wa kiume na bahati mbaya mtoto huyo akafariki. Kwenye mazishi ya mtoto akasikika akisema "Nilijua tu" watu wakamuuliza ulijua nini? Akasema "Nilijua tu vitu vya kichina havidumu".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom