Vitu vitamu vyote ndo visumbufu

Vitu vitamu vyote ndo visumbufu

Nina vikuku vya kienyeji pale kwangu, kama 5 tu ila shughuli yake ni pevu, nimevifuga kujikimu chakula, yaani vinavyosumbua, ukijisahau tu chakula vishakula, mara vimejisaidia, yaani unaweza kulia.

Jana nikajikuta natafakari mengi na kugundua vitu vitamu vingi vinasumbua sana, hebu muangalieni nguruwe, ukijisahau tu hata mtoto anakula, hebu waangalieni wanawake jamani, wanasumbua ila utamu wake unatisha.
umeanzia mbaaaaali...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom