Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Muhimu ambalo wengi hawazingatii ni KUNYONYESHA.
Utasikia "ohhh sina maziwa" hayo yanayochuruzika ni nini? mara "yatadondoka" yanaokoteka useme yatapotea? "mtoto hashibi" kawa tembo? Kazi kukomaza watoto na mauji + maziwa ya kutengeneza bila sababu ya msingi. Hayo maziwa wapeni watoto wanyonye wainarike kiakili. Akiwa kilaza baada ya hapo + jitihada nyingine basi jua haikuwa riziki.
lem ask u this hapo kwenye kunyonyesha
bibi mzaa mama alijifungua wakati anajifungua alifariki miaka kadhaa ilopita
alifariki sa chahe baada ya kujifungua mama angu akapewa jukum la kulea yule mtoto
mimi nilikuwa na mwaka. sasa ikawa shule mambo ni magum hakuna kitu darasan watu wakawa
wanasema eti kwa sababu hakunyonya ziwa la mama ko hii ni kweli maana shule mambo yalikua mrama