Vitu vinavyosababisha upate mtoto bright

Vitu vinavyosababisha upate mtoto bright

Sikubaliani na wewe kwani nilisoma na vijana wanaotoka jamii za wafugaji walikuwa wanaakili sana darasani, hafu ingekuwa hivyo basi watoto wengi wanaozunguka maeneo ya maziwa makuu wangekuwa na akili sana kwasababu wao wanakula sana samaki.

dv 5 utawajua tu nimesema kabisa kwamba nyama vyekundu kula pia na main kwa sana. nimesisitiza nyama nyeupe coz zina virutubisho vng na hazna madhara ukila kwa wing kuliko nyama nyekundu. sasa jamii za wafugaj nyama va maziwa vinapatikana kwa wing kwa nini wasiwe na akili??? na hao wa kanda za ziwa wakikazana kula samak bila kupata mlo kamili unatgemea nini???
 
watoto wanaozalishwa kwa kisu ndo wanakuwa bright.....khaaaa.....mama mchapakazi hadi dakika ya mwisho anamfanya mtoto kuwa mfikiriaji na mwenye kujituma
 
Utakunywa hadi maji ya mwarubaini na mtoto akabuma kuwa safi,,,,ni Mungu tu na uwezo wake

Na kama mlikutana wazazi vilaza mtoto anakua umoja

m.mungu ndo kila kitu kwetu mwombe mungu huku ukizngatia nilosema. co unakazana kuomba mungu af tnashindia viroba!!!!!
 
teheeee!! tena ukishampumzisha mkija kufanya uhakikishe bedroom yenu ina mavitabu vitabu tu mpaka kitandani.

ndo mana wanaozaa wakiwa chuo wanakua na akili lol......... chezea chuo dada tumbo kule anahangaika na asaiment, presentation, research!!!!! lzm uzae kichwa hapa!! jus heear say wadau mcje mkakazana kuzalia vyuoni
 
IQ ni urithi, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kama wote ni VILAZA hata mle nini, sijui mtoto ale nini tena hapo ndo litakuwa LIKILAZA plus. Kama ni diet ndo hujenga IQ basi watoto wa masikini ndo wangekuwa Madvsn V

nimezungumzia urithi km umesoma vizur lkn pia hata km kwenu mna iq kubwa lakin mlo wako hafifu alaf akizaliwa mtoto humtengenezei mazingira ya kukukuza iq yake lazima atakua kilaza.
 
dv 5 utawajua tu nimesema kabisa kwamba nyama vyekundu kula pia na main kwa sana. nimesisitiza nyama nyeupe coz zina virutubisho vng na hazna madhara ukila kwa wing kuliko nyama nyekundu. sasa jamii za wafugaj nyama va maziwa vinapatikana kwa wing kwa nini wasiwe na akili??? na hao wa kanda za ziwa wakikazana kula samak bila kupata mlo kamili unatgemea nini???

Wewe ndo div 5 unayedhani mama wazazi wakila vizuri basi watoto watakuwa na akili hujui kuwa hata kama mtoto akiwa na akili utotoni mazingira yanaweza kumuathiri.
Suuala la akili halitegemei chakula pekee malezi yanachangia sana kijana
 
kapalamsega malizia kusoma utanielewa
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndo div 5 unayedhani mama wazazi wakila vizuri basi watoto watakuwa na akili hujui kuwa hata kama mtoto akiwa na akili utotoni mazingira yanaweza kumuathiri.
Suuala la akili halitegemei chakula pekee malezi yanachangia sana kijana

malizia kusoma kabla hujatoa hoja
 
Mwinuke zeze wabwanga na wandeee!

Kuna uzi nimeuona mdau anaulizia kama mikao ya kula pilau inawezakupelekea kuzaa mtotomwenye akili (sijui kuweka link mshamba mie ningewawekea) kwa faida ya wote nimeamua kuwagaia kidogo nilichopata shule ya kata lakini kama una uelewa zaid usisite kuongezea!

Akili na tabia ya mtoto inategemea mambo mwili ambayo ni urithi (genes) na mazingira.

URITHI hapa mtoto anarithi akili ya mama, baba au ndugu yeyote na hutokea natural.

MAZINGIRA hapa akili ya mtoto inaanza kuandaliwa kabla ya mimba kutungwa (pre-natal), wkt wa ujauzito (natal) na baada ya kujifungua (post natal). nikiwa na maana kwamba mdada unatakiwa ufanye mambo yafuatayo:

1: Unatakiwa uandae mwili wako kabla hujapata mimba hakikisha unakula mlo kamili matunda kwa sana na mboga za majani pamoja na maziwa na nyama nyeupe.

Simaanishi nyekundu ucle kula pia maini kwa wingi sana ili mwili wako uwe na damu ya kutosha na virutubisho vya kutosha vya kurutubisha yai.

Na fanya maandalizi haya miezi mitatu kabla ili kuhakikisha unagaini sana.

Pia hakikisha mmeo anakula vyakula vya kuongeza nguv za kiume ya asili ili mbegu zake ziwe strong na shap kulifikia yai.

Kumbuka kufanta mazoezi pia ili mwili wako uwe active.

2:Baada ya kupata mimba kula vyakula vya asili vilivyochemshwa epuka vyakula vya kukaanga na tumia mafuta ya alizeti.

Zingatia mlo kamili kula sana yani inabidi uongeze kipmo cha chakula ucle kama mis hapa hakuna kumantain figure! ZINGATIA ucle vyakula vyenye caffein kama vile cocakola, mountain dew, majani ya chai (tengeneza chai ya mdalasini, tangawizi na ilik/ maziwa mdalasini na asali badala ya sukar), ucle clips, chill source, tomato source/paste, vyakula vya kwenye makopo na artificial.

Tumia juice za kutengeneza mwenyewe kwa kutumia matunda. Hakikisha kila mlo unaokula kuna mboga nyingi za majani zilizochemshwa na matunda meng pia.

Fanya mazoezi mepesi kumfanya mwanao awe active mazoezi mazito yanaweza kupelekea mimba kutoka.

Be happy epuka mazingra yatakayokufanya uwe na stress sababu mwanao atakua mtu wa stress.

Pata muda wakutosha wa kulala ila usiwe mvivu wengi wakipata mimba hawataki hata kuosha vyombo eti mimba!!

zingatia kwenda clinic kupata chanjo na ushauri wa Daktar.

usisahau kunywa maji kwa wingi ili kuzuia infection mbalimbal at least 3 litre per day
TUENDELEE NA SOMOMO

Wakati wa kujifungua pia mazingira fulan yanaweza yakaathir akili ya mwanao kwanamna moja au nyingine. ZINGATIA kua karb na hosptal muda wa kujifungua ukikaribia na ukifika mda wazkujifungua sukuma hasa uchungu wa mda mrefu mtoto anaweza kufia tumbon au kua na utindio wa ubongo. hakikisha mazingira ni conducive ucje ukasukuma mtoto akadondokea chini.

MAZINGIRA nayo yanatakiwa yawe conducive kwa mwanao mara baada ya kuzaliwa. mnyonyeshe mwanao kwa miez cta bla kumpa chochote. hakikisha unakula sana vyakula vyenye protin na minerals kwa wingi hvy mama anatakiwa ashibe na ale marzkwa mara ili maziwa yawr meng. hvy mtoto atashiba na kupatavirutubisho muhimu. kuna wale wattoto wanalia sana somtym ni kwa sababu hawashib lkn mida mwingne ni tabia tu ya uliz.


anza kumsemesha mwanao japo hawez kukujib lkn anasikia. mwimbie, mtanie na mtabirie future nzur na kmbuka kumpa jina zuri co majina ya ajabu ajabu.


akifikiazumri wa kula sasa anza na naziwa ya ngombe, badaeUj wa lishe hatimae mtori wa viaz au ndiz na samak au nyama. juice muhm sana na maziwa mpe kwa wing sana.


endelea kumfundisha vitu vidogo vidogo mnunulie vitabu vya picha na nsomee hadith toka akiwa mdogo ucsubirie mpaka aongee.


hakikisha mazingira yanayomzunguka mfano chumba chake weka heruf na namba na michoro mbalinbali. panga ratiba kabisa ya chakula na kusoma ucsahau mazoez.


mpeleke chekechea mapema endelea kumsomea hadth na mnunulie daftar achorechore itamsaidia kua identify color na kuweza kumaster kushika kalamu.


nunua cd za watoto zakujifunza af mperatiba ya kuangalia tv ukitaka awe mwanasiasa mcondition kuangslia bunge na taarifa ya habar na akijua kusoma mpe kiaya cha gszet la casa asome.


mjengee mwanao udadis kwa kumuulixa mswalzya kutumia akili kuliko kuliko kucrem.


kadr anavyokua mfundshe kulingana na umr na uelewa wake. shirikiana vzr na walim wake na ale kabla hajanda shule.


mpogeze anapofaur na anapokesea mrekebshe. ucm2me kununua viroba kilabun, asishuhuduie ugomv wenu wala mcfokeane mbele yake.



mfanye mwanao ajiamini ucmfokee hovyo wala kutaja kasoro zake kila mara bali mfane rafik mkosoe kiungwana. akifikia std 3 au unapoona akili inakomaa sasa mkazanie asome vitabu tofaut na aandike ripot juu ya kitabu hcho af akuletee usome.

NB: mtangulize m.mungu na chagua mke au mume bright pia wanaume mcwapoge wake zenu wakiwa wajawazito na pia zingatien matumiz sahii ya dawa coz dawa zngne zinasababisha malfomation ya kiumbe tumboni.
naishia hapa mtambuz na Mzizi mkavu waje kudada“vua zaid na kusawazisha uvuliuvuli uliopo na wengine pia mnaruhusiwa kutoa ukakasi ns kuongezea mashiko.


Heaven of hearth Husninyo BADILI TABIA mmenisoma vyema.

True pia wakati wa ujauzito jitahidi mama asiwe na stess mean awe happy muda wote,always mtoto atakaezaliwa atakua na afya njema na furaha wakati wote,
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji kupata somo la lishe ya mtoto from 0 to 3 yrs. ila maziwa ya mama tu bila chakula kingine yanamtosha mtoto wa Miezi 4 Hadi 6 kweli?

Theoreticallyyes, practically no. Mtoto wa miezi 6 hawezi kuishi kwa maziwa ya mama tu, ni lazima kuwe na supliments kwa sababu tayari mwili wake umeshaanza kuwa active hivyo energy kubwa inahitajika kusustain kasi ya ukuaji. Isitoshe ili mtoto aweze kuishi kwa maziwa ya mama hadi miezi 6 ni lazima mama awe karibu na mtoto muda wote na kama mama anafanya kazi mbali na anapoishi ni wazi hiyo supply ya maziwa siyo constant. Je mtoto atakaa njaa toka asubuhi hadi mama arudi toka kazini jioni? Au mama atakuwa anamkamulia maziwa kwenye thermos? Maziwa ya binadamu yanaweza kustahimili jotoridi la thermos? Is it ethical kukamua maziwa ya binadamu?

Ni muhimu kunyonyesha angalau mwaka na nusu wakati huohuo kukiwa na lishe ya ziada nje ya maziwa ya mama ili kukidhi mahitaji ya muhimu katika ukuaji wa mtoto.
 
Paukwa pakawa. Hizo ni notsi tu. Fanya research ujue maisha ya watu bright kuanzia mimba zao hadi miaka 10. Utashangaa ulivyoandika mambo ya uwongo.
 
Paukwa pakawa. Hizo ni notsi tu. Fanya research ujue maisha ya watu bright kuanzia mimba zao hadi miaka 10. Utashangaa ulivyoandika mambo ya uwongo.

mkweli wewe ilofanyia kaz maneno yang af ukazaa mburula!!!!!
 
Back
Top Bottom