Vitu vinavyosababisha upate mtoto bright

Vitu vinavyosababisha upate mtoto bright

Utakunywa hadi maji ya mwarubaini na mtoto akabuma kuwa safi,,,,ni Mungu tu na uwezo wake

Na kama mlikutana wazazi vilaza mtoto anakua umoja
 
Ehehehe ndio wanavyodai wadada wa mujini, jawataki kabisa hiyo mambo.

Mkamulie tu bana. ,
Inakuwa hivyo kwasababu sio sababu pekee. Ila kwa uzoefu wangu inafanya mtoto awe sharp pia anajisikia safe na ukaribu unaongezeka kati yenu.

Ndiyo maana kwa sasa watoto wengi ni vilaza/dv 5 kwa sababu ya kutonyonya maziwa ya mama kwa muda wa kutosha.
 
Jiulize kwa nini siku hizi kuzaa mapacha imekuwa nadra tofauti na zamani. Sababu ni vyakula tunavyokula ubora wake ni hafifu.
 
Watu wengi wanadhani chakula mnachokula siku hiyo mnapoelekea kwenye tendo basi ndicho hutengenezea mbegu za kuumbia mtoto.
Mambo hayaendi haraka kiasi hicho.
Mme na mke wanapaswa kuwa na historia nzuri na ndefu ya ulaji mzuri ili kuboresha mbegu na yai.
Ni kujilisha upepo kuamini kwamba kama nafanya tendo kesho basi leo na kesho nile vizuri teh teh teh...:loco:
 
Naichagulia kwenye ungo? Maana kama na kupepeta kunahusika niko tayari kufanya.

Eti ni kweli ili kupata profesa lazima baba apumzishwe zoezi kwa mwezi mzima?

Hofu yangu asije kula majani tu kama mbuzi.

teheeee!! tena ukishampumzisha mkija kufanya uhakikishe bedroom yenu ina mavitabu vitabu tu mpaka kitandani.
 
mwinuke zeze wabwanga na wandeee!!!!
kuna uzi nimeuona mdau anaulizia km mikaoya kul pilau inawezakupelekea kuzaa mtotomwenye akili (cjui kuweka link mshamba mie ningewawekea) kwa faida ya wote nimeamua kuwagaia kidogo nilichopata shule ya kata lkn km una uelewa zaid uccte kuongezea!!
akili na tabia ya mtoto inategemea mambo mwili ambayo ni urithi (genes) na mazingira. URITHI hapa mtoto anarith akili ya mama, baba au ndugu yeyote na hutokea natural. MAZINGIRA hapa akili ya mtoto inaanza kuandaliwa kabla ya mimba kutungwa (pre-natal), wkt wa ujauzito (natal) na baada ya kujifungua (post natal). nikiwa na maana kwamba mdada unatakiwa ufanye mambo yafuatayo:
1: unatakiwa uandae mwili wako kabla hujapata mimba hakikisha unakula mlo kamili matunda kwa sana na mboga za majan pamoja na maziwa na nyama nyeupe. cmaanishi nyekundu ucle kula pia maini kwa wingi sana. ili mwili wako uwe na damu ya kutosha na virutubisho vya kutosha vya kurutubisha yai. na fanya maandaliz haya miez mitatu kabla ili kuhakikisha unagain sana. piahakikisha mmeu anakula vyakula vya kuongeza nguv za kiume ya asili ili mbegu zake ziwe strong na shap kulifikia yai. kumbuka kufanta mazoez pia ili mwili wako uwe active.
2:baada ya kupata mimba kula vyakula vya asili vilivyochemshwa epuka vyakula vya kukaanga na tumia mafuta ya alizeti. zingatia mlo kamili kuls sana yan inabid uongeze kipmo cha chakula ucle km mis hapa hakuna kumantain figure! ZINGATIA ucle vyakula vyenye caffein km vile cocakola, mountain dew, majani ya chai (tengeneza chai ya mdalacn tangawiz na ilik/ maziwa mdalacn na asali badala ya sukar), ucle clips, chill source, tomato source/paste, vyakula vya kwenye makopo na artificial. tumia juice za kutengeneza mwenyewe kwa kutumia matunda. hakikisha kila mlo unaokula kuna mboga nying za majan zilizochemshwa na matunda meng pia. fanya mzoez mepesi kumfanya mwanao awe active mazoez mazito yanaweza kupelekea mimba kutoka. be happy epuka mazingra yatakayokufanya uwe na stress coz mwanao atakua mtu wa stress. pata mda wakutosha wa kulala ila ucwe mvivu weng wakipata mimba hawatak hata kuosa vyombo et mimba!!!! zingatia kwenda clinic kupata chanjo na ushaur wa daktar. ucsahau kunywa maj kwa wing ili kuzuia infection mbalimbal at least 3 lt per day.
3:hakikisha una.. kesho jaman nimejtahd kadr ya uwezo wang na tumia kimchina nikifuta heruf moja najkuta nimefuta aya nzm. mgoshe wed

Sikubaliani na wewe kwani nilisoma na vijana wanaotoka jamii za wafugaji walikuwa wanaakili sana darasani, hafu ingekuwa hivyo basi watoto wengi wanaozunguka maeneo ya maziwa makuu wangekuwa na akili sana kwasababu wao wanakula sana samaki.
 
Mie najua moja kabla hamjagegedana mle mshibe vyakula vyenye virutubisho vyote plus msigegedane gesti hausi.
Chips zege weka mbali siku hiyo.

Mkivimbiwa mtaishia kupakana maute.
 
IQ ni urithi, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kama wote ni VILAZA hata mle nini, sijui mtoto ale nini tena hapo ndo litakuwa LIKILAZA plus. Kama ni diet ndo hujenga IQ basi watoto wa masikini ndo wangekuwa Madvsn V
 
Nahitaji kupata somo la lishe ya mtoto from 0 to 3 yrs. ila maziwa ya mama tu bila chakula kingine yanamtosha mtoto wa Miezi 4 Hadi 6 kweli?

Jamani kwani mtoto anatumbo kubwa kiasi gani? Muhimu ni mama ale vizuri (mchanganyiko wa aina za vyakula, matunda na mboga mboga) na kwa wakati sio anapitiliza breakfast mpaka dinner.
 
IQ ni urithi, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kama wote ni VILAZA hata mle nini, sijui mtoto ale nini tena hapo ndo litakuwa LIKILAZA plus. Kama ni diet ndo hujenga IQ basi watoto wa masikini ndo wangekuwa Madvsn V
Wanasema waepuke vyakula artificial(vya makopo) na watoto wa 'nasikini' hatuli vyakula vya makopo tunakula vitu originale. Mchicha unachumwa bustanini, embe linaokotwa shambani, ndizi inakatwa mgombani, siku mkila kuku ni wa kienyeji ambae mmemkamata hapo hapo nyumbani, ugali ni dona n.k Isipokuwa kwa wale wa mjini,wao ndio hawafaidi.
 
Kama vile kuna ukweli, kuna kaya moja kati ya watoto 47, ni 7 waliweza maliza fomu 4, wawili ndio wakapata div 4 ya point 33. Yaani sijawahi ona ukoo mgumu kuelewa kama wale, mmoja nilisoma naye jamani, sema tu alikuwa anapenda shule na alikuwa anapigwa mitwisheni ya maana.

Ila ukiolewa na ukoo ule lazima uharibu mbegu kabisa.

IQ ni urithi, hayo mengine ni mbwembwe tu. Kama wote ni VILAZA hata mle nini, sijui mtoto ale nini tena hapo ndo litakuwa LIKILAZA plus. Kama ni diet ndo hujenga IQ basi watoto wa masikini ndo wangekuwa Madvsn V
 
chana page moja moja kwenye vitabu vya masomo, chemsha alafu kunyweni hiyo supu kabla ya mtanange na mkimaliza mtumie hiyo supu kujisafishia
 
chana page moja moja kwenye vitabu vya masomo, chemsha alafu kunyweni hiyo supu kabla ya mtanange na mkimaliza mtumie hiyo supu kujisafishia

ivi mtuu kuitwa bright ni lazima ubright huo uwe ni wa kimasomo ..
kuna mtu yupo bright tu na ana positive mimd kuliko mtu mwenye PhD . Sasa ushauri wako kwanza wa kitoto ,pili unachokifikiria kuhusu ubright unakosea .. nenda kwnye jukwaa la Jokes
 
Back
Top Bottom