Vitu muhimu kabla ya kuingia showroom!

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,664
7,728
Wataalam naomba kujuzwa hili..Nataka kuelekea huko muda si mrefu naogopa kutapeliwa!
 
Huwezi kutapeliwa ila cha msingi ikague gari vizuri kabla ya kufanya maamuzi ya kununua kuna baadhi ya show room ambazo gari zinakaa sana so unaweza nunua gari iliyoingizwa mwaka juzi.Angalia show room ambazo zinauza sana ndo nzuri.Kila la heri
 
Samahani mkuu,wale jamaa ukifika pale wanachanganya sana...ndo maana nimerudi kwanza kuuliza!
 
Unataka kununua gari gani? Cha muhimu angalia physical appearance ya hivyo gari pia angalia kiwango cha moshi unaotoka, kiwe ni kidogo, cha muhimu tembelea show room mbili tatu ili kulinganisha bei kabla ya kufanya maamuzi. Kumbuka, malipo yote kufanyia benki. Usimpe mtu hela mkononi...
 
Ahsante bro..haswa hapo kwenye malipo,kama kuna mengine niongezee mkuu showroom kuna mengi.
 
amua pia unataka gari iliyotembea kilometer kiasi gani, na angalie isiwe ni show room inayochakachua kilometer za magari inayouza kwa kuzirudisha nyuma ili gari ionekane haijatumika sana. ukitaka kujua zaidi mwaka halisi gari iliyotengenezwa kiwandani angalia kwenye seat belt yake umeandikwa.
 
Ahsanteni hayo ndio nilitaka kujua,Najua wale wa showroom mnakasirika! Ila hakuna namna....Hii ndio J
.F tumechoka kutapeliwa....
 
Showroom km kuna utapeli Ni asilimia ndogo sana usihofu km unaweza nenda hata Na Fundi wako aangalie mngurumo wa engine Na issue za ufundi basi swala la kulipa popote unaweza kulipa Ili mradi uondoke nakilicho chako ulicho nunua
 
Wewe sijui upo mkoa gani huo....
 
Mm nina ML 4 nataka gari aina ya stalet old model au mazzda old model .
NB. Iwe kwa mtu na sio showroom
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom