Vitu kutembea tumboni na kuunguruma

Vitu kutembea tumboni na kuunguruma

Ni miaka 5 sasa nahis vitu kutembea tumboni, nimezunguka hospital mbalimbali kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu lakini majibu ya vipimo yanaonesha nipo sawa hakuna tatizo. Naomba mwenye kufaham tiba ya hili tatizo usisite kuniambia ili nipate pona. Natanguliza shukran.
Nenda kwenye nature
Hebu tueleze vizuri mkuu.Au mji wa MTUMBA umejengwa tumboni mwako?Nakutania.Pole mkuu.
 
Mimi nilikatia nyagi kubwa aka faru joni, vyote vikakatika miguu hadi leo sijawahi kusikia vinatembea tena...🤣
 
Kwenye jambo kama hili unatakiwa utumie mbinu zote za kujitetea.

Nendo hospitali, tumia mitishamba, pata lishe bora, omba Mungu, na ikibidi tumia uchawi au nguvu za giza. Hutakiwa kuogopa wala kusita.

Maisha ni yako na mwili ni wako, na zaidi sana tabu ni zako mwenyewe.

Wanaokushauri hawawezi kuelewa tabu unazopitia, unatakiwa uyachukue mawazo yao na kuyachakata kwa kuangalia muktadha wa mazingira yako.

Do whatever it takes, fight however it costs, and use whatever means necessary.
 
umetoa neno kubwa sana mkuu, hakika mwenye kidonda hapaswi kuchoka kufukuza nzi. Ahsante sana
 
Back
Top Bottom