Vitu kupanda bei Tanzania

Vitu kupanda bei Tanzania

Mimi ni mfugaji na mkulima maridadi kabisa. Karibu Bunju shambani kwangu uone matunda ya shamba
Ungekua mkulima kwel ungeijua bbeii ya DAP au CAN ilivyopanda maradufu.. wew ni mwalimu bana.. hujui chochote na mshahara wako wa lak3 take home
 
Vimepanda bei na namudu kuvinunua. Silalamiki kama mama mjamzito.

Tufanye basi mimi ni mwalimu kama unavyotaka wewe... tena tufanye ni mwalimu wa shule ya vidudu , kosa langu ni lipi kukutaka wewe mzembe na mzururaji utafute kazi ya kufanya? Unadharau kazi ya mwalimu wakati wewe unakula kwa shemeji? Dada akiachika huoni utakosa bando la kuja kulalamika JF?
 
Sisi tunasema : "Mama anaupiga mwingi"

Mtoa mada itakuw sukuma gang 🤣🤣🤣, mbona huku mtaan hali shwari tuuu🤣🤣🤣 na tuna umeme wetu wa kutosha 🤣🤣🤣
Umeme ukikatika tunawasha jenereta. Sio kulalamika tu kila siku...
 
Vimepanda bei na namudu kuvinunua. Silalamiki kama mama mjamzito.

Tufanye basi mimi ni mwalimu kama unavyotaka wewe... tena tufanye ni mwalimu wa shule ya vidudu , kosa langu ni lipi kukutaka wewe mzembe na mzururaji utafute kazi ya kufanya? Unadharau kazi ya mwalimu wakati wewe unakula kwa shemeji? Dada akiachika huoni utakosa bando la kuja kulalamika JF?
Kwa umri huo lazima ukubal kurudisha mpira kwa kipa... Mim lazima nilalame.. damu bado inachemka.. uwekezaj unahitaj kufanyika.. wew ushajizeekea unasubir count down tu hapo ulipo.. huwez ona tatzo kwenye maisha haya... Wacha vijana tulalame kuwa mazingira ya uwekezaj ni magumu.. wew endelea kusahihisha mitihan na kulima matembele hapo nyumban.. ni hulka ya Mtz asilia kuzoea umaskin uliotukuka.. si kosa lako..
 
Vijana wenzako wanapishana showrooms kununua magari we endelea kulalamikia mfumuko wa bei huku ukiwa unacheza bao...

Mitihani nitasahihisha hata mtihani wako wa maisha utapitia mezani kwangu uone utakavyogonga F ya malalamiko
 
Hhhh...... Mkuu.. humjui napoleone vzur kumbe.. mim gar yangu ya kwanza gx 100 nilinunua kipind niko chuo udsm.. enzi hzo special masuti ndo mr udsm.. enz hzo tunaandaa ma bash kila mwez. Mim kma mwanafunz.. hahahaha.. wee mzee. Heb sahihisha pepa.. sasa had leo magar si naona kama baiskel tu.
 
Watu waliopitia njia hiyo, kama wanangu wawili, hawalalamiki hovyo. Wao wanahaha kutafuta mkwanja tu. Mmoja juzi alinambia anataka kuhamishia makazi yake Dubai. Nikamkatalia...
 
Analalamika gsm.. analalamika.. wazir..analalama mbowe.. analalamika rais.. au hujamskia karudisha 100 kwenye mafuta.. utakua wew mwalimu bana.. hahhaha.. heb nmekwambia kale ugal ukanye ukalale.. mzee tusije kukuvunjia heshima bure.. uzi mzima uko tofaut na wachangiaj.. natafta kik kwa pikipik naona.. haya nenda kalale..
 
Halafu sisi tunalea majitu tena mengine ni Rais!Watanzania ni Mapaka ambayo hayana akili🐒🐒🐒
16487346329170.jpg
 
Back
Top Bottom