Tuna nyanyasika
Member
- Mar 16, 2022
- 65
- 83
- Thread starter
- #21
Kabisaaaa, anapata kamshahara huko anakuja hapa JF anasema tufanye kazi, kazi kuajiriwa, huwezi feel pinch ya huu utawalaWakisataafu maisha uwa yanawachapa sana hawa,.
Kabisaaaa, anapata kamshahara huko anakuja hapa JF anasema tufanye kazi, kazi kuajiriwa, huwezi feel pinch ya huu utawalaWakisataafu maisha uwa yanawachapa sana hawa,.
Tuachee aseeNi wajibu wangu kuwatia moyo vijana wanaotaka kukata tamaa ya maisha
Ndio tatizo lenu vijana wa sasa. Mnapewa ushauri na wakubwa zenu badala kuuchukulia poa mnaleta madharau. Sasa hata kama napata kamshahara kadogo kama ka baba yako, siwezi kuwa mshauri mzuri?Kabisaaaa, anapata kamshahara huko anakuja hapa JF anasema tufanye kazi , kazi kuajiriwa, huwezi feel pinch ya huu utawala
Mkuu hivi hizo juhudi ni za aina gani unazoongeleaTufanye kazi kwa juhudi na maarifa.
Kulalamika hapa JF hakusaiidii lolote
Sio mbaya kama hutakamatwa.mkuu hivi hizo juhudi ni za aina gani unazoongelea
au zile za kuiba na kula rushwa?
Afau kazi yenyewe umeajiriwa na serikali huko, ingiaa mtaani uone ugumu wa hizo kazi, nyie watu mnao tegemea flow ya salary mwusho wa mwez mna kuwa na kauli nyepesi sana [emoji52]
CCM ni sawa na jini nyonya damuMwanzoni ilikuwa wazi vitu vimepanda bei kwa sababu ya korona, korona imeeleeka kuisha huku vitu vinazidi panda bei ..
Watu wakaanza piga kelele vitu vimepanda bei wanaumia, serikali ikakaa kimya,
Vita ya ukraine na urusi imeingia ikawa msaada kwa serikali , tayari wakatupa majibu, vitu vinapanda bei kwa sababu ya vita ya urusi na ukraine [emoji23]
Sasa bado wanawaza vita ikiisha sababu itakuwa ni nini [emoji23]View attachment 2170232
Hujui maana halisi ya Jamii Forum na kwanini ipo hapa.Tufanye kazi kwa juhudi na maarifa.
Kulalamika hapa JF hakusaiidii lolote
Wewe wasema....Hujui maana halisi ya Jamii Forum na kwanini ipo hapa.
Hujui maana halisi ya Jamii Forum na kwanini ipo hapa.
Naona umekosea jukwaa nakushauri rudi fb kwenye watu wenye uelewa kama wakoKwani umeambiwa hili ni sanduku la malalamiko
Walimu mtanitoa roho aseeNawewe ingia serikalini kama ni rahisi hivyo
Nchi za ahadi hiziWakati wenzetu wanapambana kutatua changamoto za uchumi zilizosababishwa na vita ya Ukraine huku kwetu Mapaka yanatutangazia kuwa maisha yatakuwa magumu kutokana na vita hiyo.
Wajibu wa viongozi ni kutatua changamoto katika Taifa na siyo kutangazia uma kuwa maisha yatakuwa magumu kutokana na changamoto.Nitaendelea kuimba kuwa Tanzania inaongozwa na vibaka.
View attachment 2170254
Sisi wananchi ndiyo tuna makosa kwa kuruhusu vibaka waliopora chaguzi kushika dola.Nchi za ahadi hizi
Usihangaike kuujibu upepo kakaHizo kazi ndio zimekwama Sasa ndio maana wanalalamika.
Ungekua mkulima wa kwel ungeiijua bMimi ni mfugaji na mkulima maridadi kabisa. Karibu Bunju shambani kwangu uone matunda ya shamba