Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,919
- 23,242
Hakuna zaidi ya kula, kulala, na kuvaa na vyote hivyo watanzania zaidi ya 80% wanamudu wao na jamaa zao, ni wachache mno utakaosikia wamekufa njaa ni wachache sana utakaokuta wamelala nje, sijawahi ona mtu akitembea uchi.
Ugumu wa maisha upo wapi?
Ugumu wa maisha upo wapi?