Haha.Sipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Umepanic sister asante kwa tusi lako lakn nmelipenda sanaUna mawazo ya kiseee....
Ukiona dada zako wanatoa tigo unafikiri kila mtu
Mnajishebedua tuuu, hela ya kula hamna kazi kusema sijui sipendi hiki napenda hiki...........NonesenseSipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Me nakuja Pm kuomba tuwe zaidi ya marafiki...hapo nitakuwa sijakutongoza au vipSipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
ata wewe kuna watu hawakupendi, pengine ni mchafu wa ndani au wa nje, yawezekana na wewe unatoa harafu pengine hujijui labda haitokei katika kikwapa pengine sehemu zingine za mwili, yawezekana unasugua meno lakini hayatakati, kiujumla na ujumla wake hata wewe unawaboa watu katika upande furani wa tabia, usikimbilie tuu, kujiona wewe ndio perfect na wengine wrong, tunaishi kwa kuvumiliana na kufundishana!!1:Umelala home wengine sijui wamekosa usingizi wanataka muamke wote hapa ndipo hutamani niishi nyumba ya peke yangu, sipendi kuamshwa au kuongeleshwa ongeleshwa nikiwa nimelala.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
3: Sipendi mtu ashike simu yangu, kushikiana shikiana vitu bila kuniomba sipendi.
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
5:Tumekutana tu sehemu unataka namba za simu hata hujanifurahisha kwa chochote, sipendi.
6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
7:Watu ambao hawanitafuti halafu niwatafute mimi tu nishafuta kabisa.
8:Wazee ambao mnapenda vibinti siwapendi aisee maana mna presha, kisukari mtatufia vyumbani kaeni mbali mkae na wake zenu sisi bado damu inachemka moto wetu sio wa nchi hii, mtuache tukimbizane na rika letu.
Vingine ongezea nawe ambavyo hupendi.
Sahihi kabisa.ata wewe kuna watu hawakupendi, pengine ni mchafu wa ndani au wa nje, yawezekana na wewe unatoa harafu pengine hujijui labda haitokei katika kikwapa pengine sehemu zingine za mwili, yawezekana unasugua meno lakini hayatakati, kiujumla na ujumla wake hata wewe unawaboa watu katika upande furani wa tabia, usikimbilie tuu, kujiona wewe ndio perfect na wengine wrong, tunaishi kwa kuvumiliana na kufundishana!!
Kuishi kwetu dhambi au?
Sipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
HUPENDI KUTONGOZWA ILA UNAPENDA USAIDIWE CHANGAMOTO ZAKO... KWA NINI WANAWAKE WENZAKO WASIKUSAIDIE MAANA HAWATAKUTONGOZA[/colo]
Haitotokea kamwe uwezo wa kujifanyia usafi nnao,kamwe siwezi nuka kwapa wqla kutoa harufu ya ajabu ajabuata wewe kuna watu hawakupendi, pengine ni mchafu wa ndani au wa nje, yawezekana na wewe unatoa harafu pengine hujijui labda haitokei katika kikwapa pengine sehemu zingine za mwili, yawezekana unasugua meno lakini hayatakati, kiujumla na ujumla wake hata wewe unawaboa watu katika upande furani wa tabia, usikimbilie tuu, kujiona wewe ndio perfect na wengine wrong, tunaishi kwa kuvumiliana na kufundishana!!
HahahaahaMwanamke utamwelewa anaweza taka apple ukamletea akwambia ataki tena anataka juisi ya apple,...
Sawa nakujaGea hiyo ya 7. Imenigusa.
Chungulia pm nimekutafuta
We nae umeitwa hapa au kiherehere cha kupelekw mbwa klinikHii nayo ni mada au uchuzi wa sisimizi!kwani shule bado zimefingwa jaman!?
Uwe unaandika ili ujibiwe vyemaUmepanic sister asante kwa tusi lako lakn nmelipenda sana
Nimetoka kukupanda weweitakuwa umetoka kupandwa wewe
Ahaa nimefurahi kwenye kuboreka.Dalili zinaonesha bado unaishi kwenu,...mtu akiboreka anaongea vitu vya ajab ajab