Vitu ambavyo mwanaume anavichukia kufa

Vitu ambavyo mwanaume anavichukia kufa

mwanaume akimcheat mwanamke anaona sawa tu,ila sasa agundue mke wake au gfriend wake anamcheat weeeee balaa lake hapo ......
 
mwanaume ukifumaniwa kisha ukaamua kumsusa palepale na kumzodoa mwanamke mmoja wapo na kumfuata mwingine basi aliefuatwa atajidai na kujiona mshindi na kukupenda sana na kusahau kua umemkosea
 
hiviiiii
1. kwani mwanamke ndio anapenda kuchitiwa??
2. Au mwanae mdogo apewe mimba???

na mie nashangaa,wanataka justification kwa mambo yasiyokuwa na kichwa
wala miguu...........,
mbona hao wanaume sioni wakifa kwa kuchukia hayo mambo mawil?
zaidi idadi yao inazidi tu kuongezeka
 
Back
Top Bottom