Vitu 10 vya kushangaza duniani lakini ni kweli

1: Leonard da Vinci alikuwa na uwezo Wa kuandika kwa mkono mmoja huku mkono mwingine unachora picha kwa
Wakati mmoja/simultaneously

2: Urusi haikuwahi kuihesabu bia kama ni kilevi hadi 2011. Kabla ya hapo bia ilihesabika kama vinywani baridi/soft drink.

3: ukijaribu kuzuia chafya kunauwezekano kupasua mishipa ya damu ya kichwa au shingo ukafariki. Pia ukipiga chafya kwa nguvu sana inaweza kuvunjika mbavu kadhaa.

4:mtu huwa mfupi kwa asilimia 1 kila jioni kuliko asubuhi.

5: itakuchukua miaka 1000 kuangalia video zote za YouTube na kuzimaliza.

6:mende anaweza kuishi wiki mzima akiwa hanakichwa.

7:ulimi ndio msuli wenye nguvu kuliko yote ktk mwili Wa mwanadamu.

8:kifaransa kimewahi kuwa lugha ya kiofisi England kwa zaidi ya miaka 600

9:mtu mmoja kati ya watu billion mbili ataishi miaka 116 na zaidi.

10: wastani Wa watu 2500 wanaotumia mkono Wa kushoto hufariki kwa kosa LA kutumia vifaa
Vilivyotengenezwa kuyumiwa na watu Wa mkono Wa kulia.

Nimekutana na hizi facts nikaona niwaletee wajuvi Wa majambo wachambue humu.

tupia unachojua pia tuupdate list hapa.

Na. 5 haina mashiko kwa sababu ni indefinite. Video zinaongezeka kila siku
 
thanks kwa elimu lakini ungewasilisha source kwa kila fact.
 
Back
Top Bottom