Vitu 10 vya kushangaza duniani lakini ni kweli

Vitu 10 vya kushangaza duniani lakini ni kweli

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Posts
914
Reaction score
567
1: Leonard da Vinci alikuwa na uwezo Wa kuandika kwa mkono mmoja huku mkono mwingine unachora picha kwa
Wakati mmoja/simultaneously

2: Urusi haikuwahi kuihesabu bia kama ni kilevi hadi 2011. Kabla ya hapo bia ilihesabika kama vinywani baridi/soft drink.

3: ukijaribu kuzuia chafya kunauwezekano kupasua mishipa ya damu ya kichwa au shingo ukafariki. Pia ukipiga chafya kwa nguvu sana inaweza kuvunjika mbavu kadhaa.


4:mtu huwa mfupi kwa asilimia 1 kila jioni kuliko asubuhi.

5: itakuchukua miaka 1000 kuangalia video zote za YouTube na kuzimaliza.

6:mende anaweza kuishi wiki mzima akiwa hanakichwa.

7:ulimi ndio msuli wenye nguvu kuliko yote ktk mwili Wa mwanadamu.

8:kifaransa kimewahi kuwa lugha ya kiofisi England kwa zaidi ya miaka 600

9:mtu mmoja kati ya watu billion mbili ataishi miaka 116 na zaidi.

10: wastani Wa watu 2500 wanaotumia mkono Wa kushoto hufariki kwa kosa LA kutumia vifaa
Vilivyotengenezwa kuyumiwa na watu Wa mkono Wa kulia.

Nimekutana na hizi facts nikaona niwaletee wajuvi Wa majambo wachambue humu.

tupia unachojua pia tuupdate list hapa.
 
Hilo la kupiga chafya kwa nguvu sana na kuvunja mbavu kadhaa..duuh..napata mashaka kdg!!
 
Hilo la kupiga chafya kwa nguvu sana na kuvunja mbavu kadhaa..duuh..napata mashaka kdg!!

Mkuu hiyo ondoa shaka , mimi nakumbuka wkati tukiwa
watoto wazazi walikuwa wanatukataza kubania chafya
wao walitwambia kuwa chafya ikija wewe iache tu
itoke usiizuie kabisa.
 
Immortal jellyfish ndie kiumbe pekee anayeweza kuishi milele....
 
Hiyo Namba 2 Nimeipenda, Ingekuwa Vema Pia Ukatudadavulia Kwa Ufupi Nin Kiliwapelekea Kukubali Bia Ni Kilevi
 
kama kabila la wakurya lisingekuwepo duniani,gari aina ya TATA lingeitwa fadher
 
hao Warusi Konyagi yetu ndo via kwao!!! sasa bia yao so hatar sana!
 
Back
Top Bottom