Vitoto vya kibongo kumbe vitamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitoto vya kibongo kumbe vitamu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Juan San Roman, Apr 4, 2012.

 1. J

  Juan San Roman Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani mm ni msomali by nature, nilikua nje ya nchi kwa masomo so nimerudi kama about three months ago, napiga kazi kwenye kampuni mmoja ya simu hapa Dar (Tigo), well nilikua sijawahi kuwa na romantic relationship na msichana wa kiswahili, nilivoonjeshwa mara ya kwanza 2 na binti mmoja hapa kazini, nilipigawa ile kinoma,zamani nilikua na dhana ya kuwa mabinti wengi wa kibongo hawathamini mapenzi bali pochi, ila kwa sasa nimejua wako poa sana...am enjoying my self now....my face book account is Kaluun Maysar!!!!!!!!!!!!!!!!!:yell::yell:
   
 2. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,820
  Trophy Points: 280
  Mh! Dah! Nakosa hata la kucomment, aniways hongera, ila account name yako ya facebook umeweka ili? Yaani kusudi kuu ni?
   
 3. J

  Juan San Roman Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i am looking for freinds.....u can add me babe S
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  na sisi tunahamu ya kuwala wasomali pure sii wale wa temeke au mtoni kwa azizi alli utatusaidiaje ku connect na hao girls wa kisomali?maana mkimuona tuu na mswahili eti mnamtenga how comes wakati nyie mna faidi dada zetu tena kwa mitandao yote?
   
 5. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nadhani wewe tabia yako ni mbovu sana angalia maneno yako unayotakiwa kuongea na wenye dada zao maana unahatarisha usalama wa dada zako umesoma lakini hujui ya kuongea katika halaiki/mtandaoni.
   
 6. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ni PM basi contact zake za hako kabinti ka kibongo ili nami nifaidi
   
 7. J

  Juan San Roman Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna noma bongolala ni mdomo wako tu...kama uko uko good in expressing yourself utawapata, by the way nawakubali sana vidosho vya kibongo....vinanikosha ile kinoma.....
   
 8. J

  Juan San Roman Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  oyaaa kuwa na heshima...she is my girl...we viiiipiii
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ili avitavune vitoto vya kibongo zaidi.
   
 10. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hiran nafmale wa delo
   
 11. J

  Juan San Roman Member

  #11
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wankusalamay
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Ashshshshshshsh!
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,234
  Trophy Points: 280
  unapoona mtu azungumzia rangi yake.......mimi ni msomali etc etc.............kwa maana ya race....................na anatudobosha na keki ya watu ambayo kaonjeshwa.......................khalafu anajivunia kuwa na mkono wa birika ujue................kwa maana ya kumgeuza mtoto wa watu kuwa THB.....you ought to know that trouble is looming just in the horizon.............
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  saaana tu duuh ulikua hujui?
   
 15. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #15
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  al shabab wameanza kujipenyeza polepole!
   
 16. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio inshu mwenyewe nilikuwa na Msomali alikuwa mwanafunzi somewhere, walahi ni wazuri ajabu.
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....msomali wa ilala labda...mana umejimegea utumbo mtupu hapa!...sasa umepost hii ili iweje yani?
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  So itatusaidia nini na nakushangaa kwakujisifu kwa uzinzi wakati wenzako akina stive jobs wanagundua vitu adimu na vyakuingiza hela hawajisifu, kweli akili ya mwafrika ninashaka nayo
   
 19. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 3,703
  Likes Received: 19,820
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuanzisha thread nyingine ya kutafuta marafiki, utapata wengi tu
   
 20. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie Mtanzania by naturalization + birth. Gal wangu aliyenifundisha ku-do ni msomali. Japo hatukuendelea baada ya kumaliza A-level dah inaniuma sijui karudi Somalia?
  I wish nimpate bado hajaolewa!
  I remember her mpaka chembe ya moyo inauma as if inachanwa.
   
Loading...