Vitimbi vya wanandoa majumbani mwetu

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,519
Reaction score
40,363
Wadau,

Kwa wanandoa tu, tupia kituko cha mwenzi wako hapa ili tucheke na kujifunza akili nyingi za wenza wetu;

Naanza...
1. Mke wangu alijidai kununa akatuma SMS kuwa anajinyonga kisa nimemgombeza, mimi sikujibu hiyo SMS, dakika 5 nyingi anatuma selfie huku analazimisha machozi, mi kimya, narudi home jioni namkuta anaangalia tamthilia ya kifilipino huku anachat insta. Nikaishia kucheka tu. Kinamama msilazimishe attention awamu hii ya NGOSHA asee. Huku Halmashauri tushavurugwa.


2. Mama Mkwe na Mke wangu walijinunisha wiki nzima, mimi narudi jioni na-deal na Housegirl tu (kuniandalia chakula n.k.) siku nikasubiri wapo sebuleni wote, nikaenda kumkumbatia housegirl na kumla denda mbele yao, siku hiyo hiyo dada alipandishwa basi to Iringa (Kihesa). Na adabu imerudi ndani ya NDOA.
NB: Kwa siri nikamrudisha Dada (Housegirl DAR, nikampangia Kinondoni, ndo napozea genye zangu kabla ya kurudi home jioni. Kwa kifupi, nimemteua ex-Housegirl kuwa Naibu Mke, mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
 
Me aliniambia anakunywa sumu ya panya nikamwambia sumu ya panya siku hizi haiui binadamu ngoja nikakuletee sumu nzuri
Nikaenda pharmacy kununua madawa ili nije nimchanganyie nikamkuta yupo uchi mlangoni akanibeba hadi chumbani kilichotokea tuna mtoto tunalea sasa
 
Kuna dogo alisumbuliwa sana na mkewe alikua anatabia ya kununua vidonge vya vitamin AF akimzingua anavimexa Dogo anapagawa anachukua tax fasta ad hospital Mara afunge ndani afiche funguo hiyo siku hakuna kutoka wanaangaliana tu ukomboz ad aje mgen siku nyingine alichukua mashati yote jamaa anayoenda nayo job mpaka akalaZimika kuazima kwa jirani.

Mi wangu nshamzoea wala hanisumbui ila inatakiwa usiwe na hasira uwe mtulivu mno

Best quote: ndoa ni chuo cha msamaha
 
Kuna wanandoa walikuwa wanapigana wakatoana mkuku mpaka nje basi kuna mama jirani akaingilia kusuluhisha.

Walimgeuzi kibao wakaanza kumpa kichapo yule mama mpaka akazimia, wao wakarudi zao ndani hawana ugomvi tena.

Nilishindwa kuelewa lakini nilitafakari baada ya muda nilijiambia labda ule ugomvi ulikua ni chambo na yule mama aliingia kingi labda walikuwa wanamlia timing tokea siku nyingi
 
Me or Ke?
 
[emoji23][emoji23]
 
hahahahahaha
 
Huu ujinga wa wanawake ulishaua ndugu zangu!
Siku hiyo kagombana na mume wake kwenye simu akatishia amekunywa sumu huku akilia kwenye simu na kutaabika na mayowe!jamaa alikuwa mbali kidogo ikabidi wabebane na jamaa kwenye gari kumuwahi kabla hajafa.spidi kali ya gari na kuchanganyikiwa jamaa akajikuta anaingiza gari nyuma ya semitrela na ilikuwa usiku!watu wa3 wakafa pamoja na mume wake aliekti kameza sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…