Elections 2010 Viti maalumu chadema.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Wadau hivi chadema wamepata viti maalumu vingapi bungeni?pia nimesikia kwenye magazeti ya kuwa chadema kupata viti maalumu rasmi,nimeshindwa kuelewa hili coz ninachojua hivi huwa anapewa nafasi raisi ili ateuwe.kama kuna mtu anauelewa mzuri basi atujuze..
 
Hii ndiyo nafasi yako ya kujisomea katiba sasa. Ukiwategemea wakina MS wakueleze katiba utajikuta uko Lumumba unafisadi!
 
Wadau hivi chadema wamepata viti maalumu vingapi bungeni?pia nimesikia kwenye magazeti ya kuwa chadema kupata viti maalumu rasmi,nimeshindwa kuelewa hili coz ninachojua hivi huwa anapewa nafasi raisi ili ateuwe.kama kuna mtu anauelewa mzuri basi atujuze..

nyie ndio washabiki wa chadema au siasa lakini ktk kutumia haki yako kupiga kura huitekelezi..
kukusaidia tafuta post humu ndani isemayo
" Re: Chadema kupata viti maalum 32" au face book ya zito<<
mana wadau wengine mmnafanya JF kuwa mtandao wa kuchati hivo kama ni kuchati nenda yahoo messenger au skype au Aim. lakini sio humu ndani..
WADAU MTAKAOCHANGIA HII NAOMBA MUMPE TU MAELEKEZO NA SIO KUMPA IDADI MANA NI KAMA MARUDIO
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom