Viti maalum(members only)

Viti maalum(members only)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1421993743992.jpg
 
hii body kama sio yutong itakua zhoutong
marcopolo alishaacha kufyatua hizi body
scania zimebaki iringa na mbeya
 
hivi ndo shilole?
maana nikimwangalia picha zingine ni kama hiyo wowowo imezidi
 
anajiita shishi mwenyewe looo embu nawew tia naksi kwe jina lako tuone
heri nijiite violist,

hii picha niliona siku nyingi sikujua ni shishi,nimekuja kumfaham kwenye mziki tu,loh basi katoka mbali
 
siku hizi kawaida tu,baadhi ya warembo wa kibongo wanaojifanya kuiga mamtoni nishawaona wanavuta sigara.

Wanaharibika! Wanaharibikiwa! Wanaanza na sigara ndumu viroba mwishowe poda
 
Hapa ukipata bahati ya kufanya ziara bila kutembelea kisiwani pemba ntakushangaa
 
heri nijiite violist,

hii picha niliona siku nyingi sikujua ni shishi,nimekuja kumfaham kwenye mziki tu,loh basi katoka mbali

sanaaaaa katoka mbali kinoma
 
Ila kweli Mungu fundi!Hapo ata casttle lite ina kaa kabisa!
 
Back
Top Bottom