Elections 2010 Viti Maalum CCM: Mrs. Jafaray amekumbukwa??

Status
Not open for further replies.
Hajui kula na kipofu huyo! nasikia mengi sana kuhusu yeye na vigogo wengine, mwenye details za uhakika amwage basi
 
Mkuu hayo hapo
Kutokana na Nec kuitengea CCM nafasi 65, majina ya wanawake ambao wana nafasi kubwa kuwa kwenye orodha ya uteuzi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba, Gaudentia Kabaka, Ummi Mwalimu, Agness Hokororo, Martha Umbulla, Lucy Mayenga, Faida Mohamed Bakari, Felista Bura, Kidawa Hamid Saleh na Stella Manyanya.

Wengine ni Maria Hewa, Hilda Ngoye, Josephine Genzabuke, Esther Midimu, Maida Hamad Abdalla, Asha Mshimba Jecha, Zarina Madabida, Namalok Sokoine, Munde Abdallah na Benardetha Mushashu.

Pia wamo Vick Kamata, Pindi Chana, Fatuma Mikidadi, Getrude Rwakatare, Betty Machangu, Diana Chilolo, Fakharia Shomari Khamis, Zaynabu Vulu, Abia Nyabakari na Pudenciana Kikwembe.

Lediana Mng'ong'o, Sarah Msafiri Ally, Catherine Magige, Tauhida Galos Cassian, Asha Mohamed Omari, Rita Mlaki, Anna Abdallah, Fenella Mukangara, Terezya Huvisa na Al-Shaymaa Kwegir.

Margreth Mkanga, Angellah Kairuki, Zainab Kawawa, Mwanakhamis Said, Riziki Lulida, Devotha Likokola, Christina Ishengoma, Mariam Mfaki, Margreth Sitta na Subira Mgalu.

Rita Kabati, Martha Mlata, Dk Maua Daftari, Elizabeth Batenga, Azza Hamad, Mary Mwanjelwa, Josephine Chengula, Bahati Abeid, Kiumbwa Mbaraka na Roweete Kasikila.

Anastazia Wambura, Mary Chatanda, Rosemary Kirigini,
Mariam Kisangi na Kemilembe Lwota.

Walioko katika hati hati ya kutokuwapo kwenye orodha hiyo ni Tinner Chenge, Mwandishi wa habari, Kaslida Mgeni, Mboni Mhita na Janet Masaburi.

Kwa upande wa Chadema, 23 wenye nafasi kubwa ya kuwepo ni Lucy Owenya, Ester Matiko, Mhonga Ruhwanya, Anna Mallac, Paulina Gekuli na Conchesta Rwamlaza.

Wengine ni Suzan Kiwanga, Suzan Lyimo, Grace Kiwelu, Regia Mtema, Christowaja Mkinda, Anna Komu, Mwanamrisho Abama, Joyce Mukya, Leticia Nyerere na Chiku Abwao.

Pia wamo Naomi Kaihula, Grace Kiwelu, Rose Kamili, Christina Lissu Mughiwa, Raya Ibrahim, Philipa Mturano, Miriam Msabaha, Rachel Mashishanga.


source mwananchi
 
Mageuzi, kwani wewe unaishi wapi? CCM viti maalum wamechaguana kila mkoa wawili wawili ulikuwa wapi? Mimi natoka mkoa wa Iringa nakutajiwa Mkoa wangu:
Mkoa wa Iringa ( Old Iringa)
Wabunge Viti Maalu kupitia CCM ni : 1. Lediana Mafuru Mng'ong'o 2. mrs. Kabati (Semotto)
Na Mkoa wa Iringa (Mkoa mpya wa Njombe) Wabunge viti Maalumu ni: 1. Pindi Chana 2. Rose Sitaki Nyato

Mikoamingine siijui.
 
Angewakilisha Benki kama NGO manake ndio tiketi aliyoingilia Ritta Mlaki na Anna Abdallah sijui wanafanya kazi na NGO gani zamani alikuwa Shamsa Mwangunga nae simuoni naona nko wamemtosa nini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom