Viti maalum Bungeni hawaoni juhudi za Rais Magufuli? Dhana ya rushwa yapata ushahidi

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Kwanini hadi Leo wabunge Wa viti maalum Upinzani hakuna ambaye kajitokeza na kusema anajiuzulu kuunga mkono juhudi za Magufuli?

Habari ambazo ziko mtaani ni kuwa hakuna sababu ya kumshawishi na kumlipa viti maalumu wakati akitoka NEC wanateua mwingine kutoka chama chake.

Tofauti na hawa Wa kuchaguliwa ambao unaitisha uchaguzi mpya na Wakurugenzi wanakumbuka maagizo kuwa "unapewa kila kitu halafu unamtangaza mpinzani kuwa kashinda?"

Kwa hiyo sababu hiyo ndio imefanya ccm isione faida ya Viti maalum kuvishawishi "kuunga mkono juhudi za JPM"

Hii ndio dhana halisi ya kudhibitisha kuwa CCM inaona bora rushwa itembee na serikali ipate hasara kurudia uchaguzi lakini wao wapate kiki kuwa wanaungwa mkono.

Hivi ni lazima utumie mbinu kuonyesha unaungwa mkono?
 
viti maalumu asilimia kubwa ni vimada wakihama na matumizi yamekata!
 
Mku haya ndo majibu halisi bila kupepesa macho .Anayebisha abishe tuu lakini ameshikwa pabaya
 
viti maalumu asilimia kubwa ni vimada wakihama na matumizi yamekata!
Eheee...hao wanaohama wamehakikishiwa matumizi na ndio maana wamehama. ukishahama matumizi yanakata kwa sababu vyanzo hakuna tena. sasa mtu uligombea kwa gharama kubwa na hujarudisha madeni, halafu unahama na kukosa kila kitu, hiyo ni hesabu gani? kwa usawa huu wa vyuma kubana? acheni kutufanya watoto wadogo!!!
 
Kwanini hadi Leo wabunge Wa viti maalum Upinzani hakuna ambaye kajitokeza na kusema anajiuzulu kuunga mkono juhudi za Magufuli?

Habari ambazo ziko mtaani ni kuwa hakuna sababu ya kumshawishi na kumlipa viti maalumu wakati akitoka NEC wanateua mwingine kutoka chama chake.

Tofauti na hawa Wa kuchaguliwa ambao unaitisha uchaguzi mpya na Wakurugenzi wanakumbuka maagizo kuwa "unapewa kila kitu halafu unamtangaza mpinzani kuwa kashinda?"

Kwa hiyo sababu hiyo ndio imefanya ccm isione faida ya Viti maalum kuvishawishi "kuunga mkono juhudi za JPM"

Hii ndio dhana halisi ya kudhibitisha kuwa CCM inaona bora rushwa itembee na serikali ipate hasara kurudia uchaguzi lakini wao wapate kiki kuwa wanaungwa mkono.

Hivi ni lazima utumie mbinu kuonyesha unaungwa mkono?
Yaani hapo mkuu umemaliza kabisaaaaa. Hongera sana, huo sasa ndio u-GT!!
 
Sasa kwavile umewakumbusha na wao wamesha ona hiyo ni mistake kwao subir soon utaanza kusikia wabunge wa viti maalum wakianza kumuunga mkono huyo muungwaji
 
Back
Top Bottom