Vitengo vipi Tamisemi idara ya elimu vina nafuu kidogo kwenye mishahara na upatikanaje wa posho.?

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Oct 28, 2019
1,044
1,996
Habari wadau,ninaomba kujua kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.Najua Tamisemi kwenye idara ya elimu kuna vitengo vingi ,sasa ni vitengo vipi vina mishahara kidogo inaoridhisha,posho za hapa na pale mfano over time ,sermina na mambo mengne.Naomba wanaojua wanipe dondoo tafadhali ,Mungu awabariki sana.
 
Nenda sekretarieti za mkoa ( kwa RAS) idara za elimu kuna poshooooo na mahela mengi ya miradi mara EP4R ,mara hangantoni!
 
Habari wadau,ninaomba kujua kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.Najua Tamisemi kwenye idara ya elimu kuna vitengo vingi ,sasa ni vitengo vipi vina mishahara kidogo inaoridhisha,posho za hapa na pale mfano over time ,sermina na mambo mengne.Naomba wanaojua wanipe dondoo tafadhali ,Mungu awabariki sana.
Kitengo cha CHEKECHEA
 
Idara ya elimu TAMISEMI hakuna mishahara minono Wala posho za kueleweka.

Ila Kam uko smart kichwani.
Ndo daraja muafaka la kutoboa kimaisha.

Kwa maana,
Una nafas kubwa sn ya kumuibia mwajiri muda na kufanya Mambo yao mengine nje ya ajira Ukatoboa kimaisha.

Cha muhimu,
Usipende pende vyeo vyoyote, vitakupotezea muda wako.

Kua mtumishi TU wa kawaida.
 
Back
Top Bottom