Hujasema hata uko wapi jamani kuweni serious kama kweli unahitaji msaada ,sema uko wapi etc
Kuna mtu yuko meya,hapo je,yeye atasaidiwaje?
Natanguliza shukrani.
adharusi said:kigoma unapata vizuri,kariakoo,na clock tower
je ni wax ama ni printed zenye ziko huko,sana sana katika kariakoo?
Ni wepi naweza pata vitenge kwa bei ya wholesale?