Advocate_Silayo
Member
- Aug 5, 2019
- 62
- 87
Rais ni nani?Vyama vya upinzani vinavunja sheria unamuingizaje Rais hapo ?
Rais ndio kawatuma mvunje sheria !
Asipokemea , hata kama hajaamrisha, anakuwa kabariki.Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Jiwe anajichimbia kaburi kwa kuwakandamiza wapinzani najua kwa kiburi chake hatashaurika na huo ndio upenyo kwa watz kuondokana na huyu dikteta.Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Jana tumemsikia akimkanya RPC wa Arusha kwamba mambo ambayo ana fanya hajamtuma. Hata kutishia kumtumbua. Kwa faida ya wasio jua mambo aliyo kuwa akifany a huyu RPC ni mambo ya siasa kupitiliza. Kama kweli Mh Rais ana nia njema na Watanzania kwanini hakumuagiza IGP amkanye mapema? Hii tabia ya one man show sio sawa. Hii ni humiliation kwa wateuzi wake.Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Mtu anaongea hadharani kabisa asiwe na mkono hapo?Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Mwili hauwezi kujidhuruInawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Kama si yeye Mwenyekiti anayeagiza vifanyike vitendo hivyo, ni kwanini hawatumbui hao jamaa, ambao wameshindwa kutimiza jukumu namba moja wanalotakiwa kulitekeleza, ambalo ni kulinda maisha ya raia pamoja na mali zao?Inawezekana kabisa kuwa kashkash zote hizi ambazo Polisi wanawafanyia watu wa vyama vingine mbali na CCM, si maagizo ya Mwenyekiti wa CCM, ila ili tujue kama ni kweli Mwenyekiti hana mkono wa baraka juu ya haya maovu, ni kwanini hatoki hadharani kukemea haya yanayoendelea
Huyo Jiwe ana mkono wake kikamilifu kabisa, katika maovu yote yanayofanywa na Jeshi letu la Polisi nchini.Mtu anaongea hadharani kabisa asiwe na mkono hapo?
Huo ni unafiki aliofanya Jiwe kama kawaida yake.........Jana tumemsikia akimkanya RPC wa Arusha kwamba mambo ambayo ana fanya hajamtuma. Hata kutishia kumtumbua. Kwa faida ya wasio jua mambo aliyo kuwa akifany a huyu RPC ni mambo ya siasa kupitiliza. Kama kweli Mh Rais ana nia njema na Watanzania kwanini hakumuagiza IGP amkanye mapema? Hii tabia ya one man show sio sawa. Hii ni humiliation kwa wateuzi wake.