TZ ni vugumu kufatilia recodi za hao makondkta kama wameshashtakiwa polisi b4. Ila hata wanawake wana tabia hizo pia kuchezea watoto hivyo hii ni muhimu mashule yawe wakali wanapowaajili hao wafanyakazi na walimu kuwauliza wanafunzi kama wapo salama safarini na pia wazazi wengi wanarudi wamechoka toka job na ni kujitahidi kuwahi home na kuongea na watoto wao pia kuzingatia ukali unafanya watoto wawe waoga