vitendawili na methali za sasa

vitendawili na methali za sasa

habby

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
35
Reaction score
1
1. Simba mwendapole.. Huyo ni Sharobaro
2. Asiyefunzwa na *****.. Ujue Mama hajapitia Ualimu
3. Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehemu
4. Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio
5. Hakuna Masika.. Isiyo na Matope
6. Mpanda Ngazi.. Ataota Vigimbi
7. Pruu mpaka Maka.. Kaenda Kuhiji huyo
8. Hakuna Marefu yasiyo na Mapana
9. Kuku Mgeni.. Hufungiwa mpaka azoee.
10. Haba na hapa....haba 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom