Methali za kisasa

koncho77

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,790
10,374
Simba mwendapole
=Huyo ni Sharobaro

Asiyefunzwa na
*****= Ujue Mama
hajapitia Ualimu.

Zimwi likujualo= Lilikuona Sehemu.

Chelewa Chelewa=
Ukizikusanya utapata
Ufagio.

Hakuna Masika=
Wakati wa Kiangazi.

Mpanda Ngazi=
Asiwe Mwoga
kuanguka.

Dua la kuku=
Bismilah Rahman Rahim.

Penye wengi= Pana Ajali au Tukio.

Ukiona vyaelea=
Ujue ni vyepesi.

Mwenye nguvu=
amekula ugal wa dona.
 
Mchumia juani,atatoka jasho.
Aisifye mvua Hana mwavuli
Mwenye macho atakuwa mwanamke
Mla mla leo kesho yake atakula tena.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom