Hii nchi inachezea hela zetu za kodi;
- Kitambulisho cha kupigia kura cha zamani eti hakitumiki tena;
- Kitambulisho cha taifa, sijui nacho ni feki;
- Kitambulisho kipya cha kupigia kura.
Hivi nyie wanasheria mliobobea mnawezaje kukaa kimya
na kuangalia upotevu mkubwa kama huu wa pesa
za walipa kodi.
Mamdenyi nakupa heko, leo umeongea ukweli na uwazi. Naunga mkono hoja yako kwa wanasheria bobezi.
Ufeki wake ni kuwa havina saini ya mtumiaji. Huwezi kutambulika benki bila ya kitambulisho chenye saini yako.Na wale jamaa walioshinda tenda walifanya kusudi ili tuwarudie kuwapam ingine kwa ajili ya kutuuzia scanners maalum kwa ajili ya ukamilisho wa utambuzi wake.
![]()
nini kifanyike sasa>>>Serikali wanachukua fedha then hawarudishi,mafisadi wanakopa kwenye mifuko nao hawarudishi unategemea itaendelea? Kila mwaka ma DG na officers wanalipana bonus za 200m hadi 400m unategemea nini? Saccos wanakopeshwa watu wanakula hawarudishi ni kama mabillioni ya jk.
Mara zote kwenye ukweli ni lazima tuonyeshe utaifa wetu mkuu;
wamesema saini imefichwa ki elektroniki
nini kifanyike sasa>>>
Halafu hiyo expiry date ina maana gani? Kwamba ikifika hiyo tarehe mwenye kitambulisho atakuwa amebadilika au?wamesema saini imefichwa ki elektroniki
Mara zote kwenye ukweli ni lazima tuonyeshe utaifa wetu mkuu;
yashushe hapa King