Nimeandika issue na maoni kama haya kwenye thread ile ya kampuni ya malaysia. nadhani tatizo tulinolao serikali inaweza kufanya mambo mazuri tu lakini yasiyo na tija kama hawaangalii mambo kwa upana wake
Binafsi sioni mantiki ya kuwa na daftari/ kitambulisho cha mpiga kura inachotumika seasonal every five years. alafu tena uje uwe na kitambulisho ya taifa. Kwa nini wasiboreshe hiki kitambulisho cha mpiga kura kuwe ndo kitambulish cha taifa.
Kwa nini tuwe na maserver ma database mengi yenye taarifa zile zile ten chini ya serikali moja?
mawazo mgando,hivi unajua maana ya database?Kwanza Kikwete sio Dr.
Pili Sio Rais wetu mpendwa kwa sana kam ni mpendwa ni kwako
Tatu Vitambulisho ni muhimu
Vitambulisho vya Taifa ni muhimu sana, vitatumika kila sehemu hata Bank, shule, kuombea kazi na shughuli nyingine. Swala la Vitambulisho naliunga mkono wa 1000000% kama hamtaki vitambulisho hameni nchi
Naomba mfano Wa nchi iliyounganisha Hivi vyote ndio nitachangia hoja..,
Sasa kama hili wazo lako sio sahihi kwanini asitokee mtu akalipinga!!!? ...na kama ni sahihi ni kwa lisifikiriwe katika utekelezaji!? Je itakuwa sawa kukiri kuwa nchi sasa ina 'wafikiriaji (thinkers)' wasio na maamuzi au ina 'Waamuzi wasio fikiri'???Sioni tatizo nini ipo chini ya nani kinachotakiwa watafute njia ya kufanya vitu efficinetly.
Tutasikia na trafiic police wanataka kuwa system ya kuwa na taarifa za magari. Je ni busara wawe na system yao wakati wanaweza kutumia System ya TRA.??Kitaalam trafic police watatakiwa kuwa na access ya kuview kwenye baadhi ya taarifa za regsitarion ya magari ya TRA. Kisiasa ndo jibu jepesi wataptisha na traffic police kuwa na syetm yao. Hili ni tatizo
The government is one. it should not matter server au administration au data anazo nani kinachotakiwa ila taasisis inayohitaji data fulani ambazo zipo sehemu izipate badala kila taaisi kuanzisha kitu kile kile.
Wanaweza wakapewa watumishi may be wa NIDA au RITA kufanya data entry wengine wakawa na right ya kiview tu
haya mambo niyo maana yameletwa jamvini hapa kuangalia kama kweli na sisi kama Watanzania tuna la kuweza kufikifri wenyewe badala ya kuangalia yaliyofanyika kwingine. Angalia uhalisia wa mawazo!Naomba mfano Wa nchi iliyounganisha Hivi vyote ndio nitachangia hoja..,
ukiangalia pia kiasi cha fedha kinachokusudiwa kutumika na kutokana na uzoefu tulioupata, nadhani wengi tukisoma repoti ya bunge juu ya RICHMOND na jinsi wahusika walivyokuwa wakifuatilia usiku na mchana ungedhani kweli wana nia ya dhati kumaliza mgao wa umeme Tanzania, tuliona tulipoishia. Kuna haja ya kurejea huko!??wataalam wa mambo ya information systems huwa tunaita data redundancy: hii ni kweli kbs serikali ni moja iwepo database moja inayoshughulikia personal details za wananchi, madhara yake baadae kutatokea tatizo la kutoelewana btn database systems hizo za rita na nyingine mwishowe kufanya maamuzi yasiyo sahihi
Mfano wa malaysia wenyewe swala la vitambulisho vya uraia unapewa unapozaliwa (wao wanaita IC card) so unaweza ukagues umri wa mtu kwa kuangalia IC number na pia wana foreign IDs (zinaitwa ikad) na zipo chini ya immigration dept under ministry of home affairs.
naunga mkono hoja 100% ni kwanini iris wasifanye kama malaysia
Kwanza Kikwete sio Dr.
Pili Sio Rais wetu mpendwa kwa sana kam ni mpendwa ni kwako
Tatu Vitambulisho ni muhimu
Vitambulisho vya Taifa ni muhimu sana, vitatumika kila sehemu hata Bank, shule, kuombea kazi na shughuli nyingine. Swala la Vitambulisho naliunga mkono wa 1000000% kama hamtaki vitambulisho hameni nchi
[font="]ndugu wanajamvi,
[/font]
[font="]
[/font]
[font="]kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha hii hoja ili tuone inaweza kutusaidia vipi kupinga hii project ya vitambulisho vya taifa, msijali tuna nguvu kiasi gani maana saddam, mubarak, mobutu, n.k. Walionekana giants pia! Nadhani wanajamvi wengine wamesha post juu ya hili swala ila kutokana na umuhimu wake kwa taifa nakuja nalo tena.
[/font]
[font="]
fikiria haya yafuatayo:
mpaka sasa kuna vitambulisho vifutavyo kutoka serikalini/taasisi za serikali:[/font]
[font="]mpaka sasa si tra au wizara ya mambo ya ndani ambayo database yake inahifadhi nusu ya watanzania, zote zina data kidogo sana na labda sizizo sahihi. Ukienda kuomba passport unatakiwa kutoa cheti cha kuzaliwa, tin unaombwa kitambulisho (sijui kipi!!) nk ila cha msingi hapa particulars la kila kitambulisho ni zile zile!
- [font="]tin certificate (inatolewa na tra)[/font][font="][/font]
- [font="]birth certificate (inatolewa na rita)[/font][font="][/font]
- [font="]passport (inatolewa na immigration/mambo ya ndani)[/font][font="][/font]
- [font="]voter registration card (inatolewa na tume ya uchaguzi)[/font][font="][/font]
- [font="]driving license (inatolewa na traffic police/mambo ya ndani)[/font][font="][/font]
- [font="]...nk[/font][font="][/font]
- [font="]...nk[/font][font="][/font]
Kwa mfano, nimesoma habari inayohusu shirika la misaada la japan (jica) kutoa angalizo na maoni yake juu ya nini kinasababisha foleni jijini dar es salaam: Walioiona hiyo habari ni kuwa ziko taasisi karibia(zaidi) ya 15 zinazoshigulika na kitu kimoja - usafiri wa jiji!!! ...ambazo kutokana na maamuzi yao kutofautiana yameishia kuongeza ukubwa wa tatizo badala ya kupunguza. Wakashauri iwepo mamlaka moja tu yenye maamuzi.
kwa vile mradi huu wa vitambulisho unatiliwa mashaka na wengi, na kwa vile siku za nyuma mheshimiwa raisi wetu mpendwa sana dokta jakaya mrisho kikwete alishasema kuwa anajenga uwezo (capacity building) kwa kuelekeza nguvu kwenye kuimarisha taasisi, basi ni kwa nini hizo us $230m zinazotolewa kwa kazi hii zisiwekwe kwenye taasisi ambazo zipo tayari na zina mtandao mzuri badala ya kuanzisha mpya!!?
hii inaweza kulisaidia taifa kwenye mipango yake ya maendeleo na kuwa na 'a strong and reliable database' inayoweza kuondoa utata wa kuambiwa kuwa kuna wapiga kura milioni 22 lakini wakajitokeza milioni 7! Lakini kikubwa zaidi ni duplication of works and repetitions!
my take:
taasisi ya vizazi na vifo (registration, insolvency and trusteeship agency - rita) inaonekana ndiyo kiuhakika inahusika na kila mtanzania na ni ya kudumu (maana passport ni kwa wasafiri, leseni ni madereva, tin ni biashara, mpiga kura nk) ipewe hizo pesa ili waimarishe uwezo wao (database na administrative issues) badala ya kuzitupa "motoni"!?
(naomba kukosolewa)
nawasilisha[/font]
Kwanza Kikwete sio Dr.
Pili Sio Rais wetu mpendwa kwa sana kam ni mpendwa ni kwako
Tatu Vitambulisho ni muhimu
Vitambulisho vya Taifa ni muhimu sana, vitatumika kila sehemu hata Bank, shule, kuombea kazi na shughuli nyingine. Swala la Vitambulisho naliunga mkono wa 1000000% kama hamtaki vitambulisho hameni nchi
Kwanza tunataka tanganyika ndipo tuhitaji vitambulisho vya nchi yetu.
Mimi siijui tanzania