Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 7,356
- 7,636
Zinasaidia. Sio wote wanapanda ndege au wanasafiria mabasi au magari binafsi. Wengine mpaka leo wanatembelea vipembe huku wanawangaAtuli ndege,zitakusaidie kuwarudisheni kwenu
Zinasaidia. Sio wote wanapanda ndege au wanasafiria mabasi au magari binafsi. Wengine mpaka leo wanatembelea vipembe huku wanawangaAtuli ndege,zitakusaidie kuwarudisheni kwenu
Tozo typeNimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
Zipo ILE AKAUNTI ISIYOKAGULIWA NA CAGNimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.
Nyakati zinakimbia sanaNimemsikia Grayson Msigwa akidadavua mafanikio ya awamu ya 5. Wamegawa vitambulisho vya machinga 1,600,000 @ sh. 20,000/- Jumla sh. 32,000,000,000/-. Sijui Kama CAG anajua zilipo.