Vitambi na game ya 6*6

................and the point is?
 
mwanaume wa kweli hajisifii hata siku moja... na mwanamke mjanja lazma akusifu kukupa mori na kukushika vizuri maskio

anyway... ndio hivyo tena siku hizi kila mtu akipata kigozi manyoya anajiona kakua, kumbe wengine hizo malaika ni za kurithi tu, si ajabu ahata bao hajui linatokaje
 
So sisi wenye vitambi kama Komba ndio hatujui eh
 

ama kweli watu wa nene mostly wana uwezo mdogo wa kufikiri na ww unawawakilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…