MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 295
- 679
Pius Kulwa
Political Analyst, *PhD*
09-03-2020
Kitendo cha CHADEMA kuwaamuru wanachama wake kufunga kitambaa cheupe na kujitokeza kwa wingi katika kesi ya viongozi wake ili kuishinikiza mahakama iwape upendeleo katika hukumu inayotarajiwa kutolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho Machi 10, 2020 ni Kuingilia Uhuru wa Mahakama na kuvunja demokrasia.
Kwa mujibu wa azimio 40/32 la Novemba 29, 1985 na 40/146 la Desemba 13, 1985 la Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, mahakama zinapaswa kufanya kazi zake bila kushinikizwa na mtu au taasisi yoyote.
Hivyo vitendo vya kuvaa vitambaa hivyo na kujitokeza kwa wingi nje ya mahakama katika siku ya hukumu, vinaashiria kuwatisha mahakimu ili waweze kuwa upande wa CHADEMA hivyo kushindwa kutenda haki.
Tunawataka viongozi wa CHADEMA kuheshimu msingi huu wa demokrasia ambao unalenga kulinda amani tuliyo nayo.
Pia, CHADEMA ifahamu kuwa viongozi wao nane ambao hukumu yao huenda ikatolewa kesho, walifanya makosa ya jinai yaliyosababisha kifo cha nguvu kazi ya Taifa.
Iacheni mahakama itende haki kwa mujibu wa katiba na sheria mbalimbali. Mahakama haifuati mapendekezo ya mtu katika kutenda haki.
Sent using Jamii Forums mobile app