Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 764
Mimi ninacho cha kufa kupona hapa home..!! Vp utakihitaji nikuuzie
Aristablus Elvis Musiba ni marehemu
Hiki cha Hussein ni kile chenye msichana mwenye jina gumu sijui alikuwa akiitwa Tiganini sijui ? alikuwa anafanya kazi kwenye makumbusho sijui au siyo huyo? Wenzie waliuliwa walipokwenda field na yeye peke yake akabakia akiwa na mkanda unaoonyesha mauaji yalivyofanyika mle msituni? Kama ni hicho nakubaliana nanyi ni kizuri nilifanikiwa kukisoma kwa siku mbili kwani utamu wake haukuruhusu nikiweke chini kivivu!
Wakuu hivi vitabu Bookshops mbona havipatikani??
Twaweza kuvipata wapi?
Mbona hivi vitabu vipo tele tu katika maduka ya kuuzia vitabu "book shops", ingekuwa upo visiwani ningekuelekeza kwa Farouk Karim, Masomo BookShop, Darajani.
Bytheway, Huyu muandishi wa Riwaya hizi yupo wapi siku hizi, na anafanya kazi gani?
Nilizipenda sana kazi zake kama hizo ulizozitaja, lakini iliyonisisimua zaidi ni ile ya KIKOMO.
Mimi ninacho cha kufa kupona hapa home..!! Vp utakihitaji nikuuzie
Hapo kwenye nyekundu nadhani ulitaka kusema Nyamatare na si Kamunyonge shule ya Msingi. Unaweza pia tembelea kaburi lake hapo kwa Nyamusibha kumuenzi mzee wetu Elvis (RIP)jamani kama sikosei Elvis Msiba ni marehemu. napakumbuka nyumbani kwake mtaa wa Nyamatare Musoma karibu na shule ya msingi Kamnyonge. nilisoma na Mpwa wake jina la kwanza nimelishau baba yake aliitwa Chisanyo. Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikimuona pale NMB House pale Mjini. nyumbani kwake niliwahi kufika huko Msoma hata bada ya taarifa za msiba nikiwa hapa mjini nilijulishwa na ndugu yangu aliyekuwa jirani yake.
jamani hivi hakuna aliyefanikiwa kupata vitabu hivi??? Navitafuta mnooo
Kitabu cha Njama kipo kinauzwa k/koo
mtaa wa msimbazi karibu na jengo la simba kwa wauza magazetiKariakoo sehemu gani, mkuu?
mtaa wa msimbazi karibu na jengo la simba kwa wauza magazeti