Vitabu vya mafanikio

Waungwana nawashukuruni sana kuviweka vitabu hivi online,ndo kwanza naanza kuvisoma baada ya kuvidownload.mimi nimechoka na ajira maana sina uhuru hata mda wa kukaa na familia yangu umekuwa ni tatizo,ninakusudia kuresign soon baada ya kujipanga sawasawa.

Mungu ibariki jf
 
Mkuu tupo pamoja!
 
Wasalam wana JF,
Kuna mtu hapa JF nampongeza sana kwa upendo wake na utoaji wa msaada wa kisomi. Yeye huwa natoa vitabu vinavyohusu mafanikio mara kwa mara kwa wale ambao hawajaviona naviweka hapa, jitahidi uvimalize kuvisoma utafurahi! Pia kama una vitabu vinazungumzia mafaniko tuatachie hapa sisi tujisomee!
Asante.
View attachment 29652View attachment 29653
So

Mkuu naweza kukutumia namba ya wassap ukanirushia kitabu cha you can win najaribu kufungua hapa havifunguki
 
Ahsante Radio Producer...

Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya shule tu,

Niko mbioni kuangalia nawezaje kuchangia angalau kuandika kitabu kimoja.

Tafadhali virushe vingine kama vipo
Wasomi wa biashara na uchumi hapa Tanzania wapo wengi sana, ila ndo hao wapo busy kutafuta kazi. Wangeanzisha kampuni za kuandika, kuchapisha na kuuza vitabu wangekuwa mbali sana na hata wasingekosa hizo ajira wanazohangaika kuzipata
 
Back
Top Bottom