safi kijana !Riwaya ya AHADI ZA MCHUMBA hii hapa, ipakue
safi kijana !Riwaya ya AHADI ZA MCHUMBA hii hapa, ipakue
sawa mkuu tuko pamoja, angalia nimeshaweka vyote vitatu.safi kijana !
My most favorite poem inaitwa 'the cold within'Heshima kwenu wana JF,
Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na weledi mkubwa ili kutuburudisha na kutuelimisha pia.
Kuna baadhi ya vitabu vya riwaya/tamthiliya/ushairi ambavyo nikivisoma huwa sichoki kuvirudia maana vinazungumza kuhusu maisha halisi tunayoishi kama jamii.
Vitabu ambavyo nimewahi kusoma nikaburudika na kuelimika pasipo kuchoka ni hivi;
1. Mfalme ****.
2. I will marry when I want (kuna mhusika hapa anaitwa John Muhuuni amedadavuliwa vyema sana).
3. An enemy of the People.
4. Things fall apart.
5. Songs of Lawino and Ocol.
6. Stray birds.
7. A man of the people.
8. The Beautyful Ones are not yet born (tittle yake iko kama ilivyo wala usiisahihishe hata kidogo kwenye neno BEAUTYFUL maana mwandishi alidhamiria kitu fulani kuiweka hivyo ilivyo).
9. My favourite poems are; ROAD NOT TAKEN by Robert Frost and 'EAT MORE' by unknown author.
10. MFADHILI.
JOURNALS na MAGAZINES ninazopenda kusoma bila kuchoka ni hizi;
1. BONSAI JOURNAL (ukiingia kwa website yao unadownload bure).
2. The Sun.
3. The 13 Alphabet Magazine.
JE wewe umewahi kusoma/unapenda kusoma kitabu gani kinachokufanya usichoke kukirudia maana unaona uhalisia wake kwa maisha ya jamii yako? Vitaje vitabu hivyo au journals ama magazines nasi tupate kuvijua na kuvisoma.
Karibuni,
naweza lipataje hilo shairi nilisome na mimi mkuuMy most favorite poem inaitwa 'the cold within'
Very deep aisee
Kusadikika
Kufikirika
Mizimu ya watu wa kale
Safari saba za Sindibad baharia
asante kwa kushare nasi vitabu mkuuRiwaya ya AHADI ZA MCHUMBA hii hapa, ipakue
Hongera mkuu mung akubariktamthiliya ya I will marry when I want hiyo yapo chini, pakua
AMINA,Hongera mkuu mung akubarik
naweza lipataje hilo shairi nilisome na mimi mkuu
Kweli maana ameniacha mdomo wazi
Riwaya ya AHADI ZA MCHUMBA hii hapa, ipakue