Vitabu vipya vya TIE na hatma ya Tanzania

Nimefedheheka sana, Mkuu huenda ndio matokeo ya watendaji wenye vyeti feki. Nashauri bandiko lako pia ungelituma kwenye barua pepe ya Taasisi husika ili waone kasoro hizo. Hongera kwa uchambuzi na ufuatiliaji kamanda.
Huku sekondari nako shida tupu Jana nlikua napitia Geography form one mmhhhh!!;shida ngoja nifike kazini ntume vielezo
 
Inaelekea hivyo vitabu vya Jiografia Geniveros ni majipu si ya kitoto. Maana vinasemwa sana na watu. Mimi sijabahatika kuviona. Hebu fanyafanya bhana hivyo vielelezo tuone madudu.
 
Ni Kandarasi gani aliyepewa kuchapisha hivi vitabu?.
 
Inaelekea hivyo vitabu vya Jiografia Geniveros ni majipu si ya kitoto. Maana vinasemwa sana na watu. Mimi sijabahatika kuviona. Hebu fanyafanya bhana hivyo vielelezo tuone madudu.
sure ngoja ntaituma muda si mrefu cha yaani wamevirahisiha mnoo
 
Mkuu bandiko lako ni nyeti litume kwa mamlaka husika, wizara ya elimu na vyombo husika kuna tatizo mahali
 
Serikali yya awamu ya tano inaharibu elimu yetu kwa makusudi ili wapate mbumbumbu wa kuwatawala milele!
 
Back
Top Bottom