C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 166
Kwa mara nyingine tena kwa wale wanaotaka vitabu vya elimu ya MALEZI, UONGOZI, UJASIRIAMALI, SAIKOLOJIA na masuala mengine ya kimaendeleo na maisha kwa ujumla tuwasiliane. Kama ukiweza nenda book shop ya Mlimani City (Mack Bookshop) na ulizia vitabu vya mwandishi Robert C.K utavipata japo bei itakuwa juu kidogo tofauti na ukibahatika kuvipata kutoka kwangu moja kwa moja. Softcopy pia (pdf) unaweza kupata, nakutumia kwa email. Bei ni TShilingi elfu tano (5,000/=) kila nakala. (Angalia mfano wa cover page za baadhi ya vitabu hivyo kwe attachment)
Mawasiliano 0758 397557, 0718 174415.
NB: Vinapatikana kwa jumla na rejareja pia
Karibu
Pata ufahamu, pata nguvu... ufahamu ni nguvu Soma vitabu!
Mawasiliano 0758 397557, 0718 174415.
NB: Vinapatikana kwa jumla na rejareja pia
Karibu
Pata ufahamu, pata nguvu... ufahamu ni nguvu Soma vitabu!