Vitabu Vinahitajika Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vitabu Vinahitajika Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MaTT, Aug 5, 2009.

 1. M

  MaTT Member

  #1
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba anayeweza kunisaidia kuvipata vitabu vifuatavyo hapa DSM mapema iwezekanavyo. Tutawasiliana jinsi ya kumlipa kwenye curreny atakayotaka yeye.

  1. Managerial Economics: Economic Tools for Today's Decision Makers: ISBN 0135070651
  By Paul Keat & Philp K. Young
  Product details
  Paperback: 592 pages
  Publisher: Pearson Education: 6 edition (4 Nov 2008)
  Language English
  ISBN-10: 0135070651
  ISBN-13: 978-0135070659
  Product Dimensions: 25.2 x 20.2 x 2.6 cm


  The book listed below has to be accompanied by MYFINANCIALLAB as it has been insisted by the Course Instructor.

  2. Corporate Finance plus my finance lab
  By Berk, Jonathan and DeMarzo Peter
  Paperback:
  Publisher: Pearson Education: 6 edition (10 July 2008)
  ISBN: 0-32141680-5


  Simu yangu +255 754 203386
  E-mail Address: johvet@yahoo.com
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  vipi mkuu walio nje ya dar wanaruhusiwa? sema kabisa una bei gani watu wachangamkie dili.....
   
 3. M

  MaTT Member

  #3
  Aug 5, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi nipo Dar na ninataka vitabu nivipate hapa Dar sijali vinatoka wapi ili mradi viwe kama nilivyoandika hapo na hiyo My FinancialLab imeambatanishwa. Fedha za kununulia zipo hata kama ukileta leo nitakupa na cha juu kidogo. Angalia bei zake www.amazon.co.uk au www.amazon.com
   
 4. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu unataka kuiona Bongo Darisalaamu? Kila la heri lakini. Hapa JF kila kitu kinanapata suluhu. Natumai hutakwama!!
   
Loading...