Vitabu & Program za kufundisha Programming/Codes/IT kwa Watoto wa Shule za Msingi

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,604
Habari wadau, nina vijana wangu wa darasa la nne na sita nataka nianze kuwafundisha computer science (kwa level yao) ili waendane na makuzi ya technolojia.

Kwa sasa computer nimeshawanunulia ila hivyo nawafundisha simple spreadsheet pamoja na internet. Nilitaka niende mbali zaidi ya hapo japo kwa kuzingatia umri na level ya elimu yao.

Je ninaweza kupata vitabu a programs tajwa hapo juu ili viweze kusaidia lengo langu? Nilivutiwa sana kenya wanataka kuanzisha masomo haya kuanzia shule ya msingi! Mwenye access navyo please naomba anijuze.

Asanteni sana.
 
Hello wakongwe wenzangu, karibuni sana tusaidiane hapa!
 
Ingia na hapa pia

Pia Kuna kitabu cha pdf kizuri nimeshhindwa kukipandisha
 
Habari wadau, nina vijana wangu wa darasa la nne na sita nataka nianze kuwafundisha computer science (kwa level yao) ili waendane na makuzi ya technolojia.

Kwa sasa computer nimeshawanunulia ila hivyo nawafundisha simple spreadsheet pamoja na internet. Nilitaka niende mbali zaidi ya hapo japo kwa kuzingatia umri na level ya elimu yao.

Je ninaweza kupata vitabu a programs tajwa hapo juu ili viweze kusaidia lengo langu? Nilivutiwa sana kenya wanataka kuanzisha masomo haya kuanzia shule ya msingi! Mwenye access navyo please naomba anijuze.

Asanteni sana.

Looking for a part time teacher,welcome.

Looking for already printed pdf notes,? welcome.
 
Back
Top Bottom