Vitabu PEPE | eBooks hapa

Vitabu PEPE

Member
May 6, 2016
6
4
Hello JF Members,
A mobile phone can be a surprisingly good companion for everyone who wants to have access to their eBooks all day long. Most of us don’t consider our phones as a serious e-reading device.

Nina collection ya Vitabu PEPE vilivyo katika formats za EPUB, MOBI na vichache katika PDF, nia yangu ni kuhamasisha usomaji vitabu hasa katika smart phones, tablet na PC.

I have Non-fiction and some few fiction eBooks. Pia huwa tuaweka list ya vitabu kila siku katika page yetu ya
Vitabu PEPE pitia pale kuona updates za ya Vitabu PEPE tulivyonavyo.

Unaweza kusoma Vitabu PEPE kwa kutumia Smart Phone, Tablet au Pc, Download hizi apps.
  • Aldiko (Android Phones)
  • iBooks (iOS Phone)
  • BookViser (Windows Phone)
  • Calibre/Nook (PC)
GET a Bundle offer of 3 titles @Tsh.4500/=
Single titles @Tsh.1500/= per eBook.

CONTACT US:
EMAIL: vitabu.pepe@yahoo.com
SMS: 0628166067
Facebook: Vitabu PEPE

cover%2044_zpst7zccpqo.jpg
 
Safi sana mkuu.

Una vitabu vya jamaa anaitwa Shad Helmstetter?? Kimoja kinaitwa SELF TALK SOLUTION kingine kinaitwa NEURO-PLASTICITY??
 
Tunavisomaje sasa mkuu? Mbona nikifungua inatokea jina la kitabu peke yake? Tuwekee link tuvipakue. Au utaratibu wako ukoje?
 
Mkuu naomba uviweke hapa vile vilivyo ktk pdf format
Vitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.
Ila unaweza ni-PM your email nikakutumia
 
Tunavisomaje sasa mkuu? Mbona nikifungua inatokea jina la kitabu peke yake? Tuwekee link tuvipakue. Au utaratibu wako ukoje?
Vitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.
Ila unaweza ni-PM your email nikakutumia
 
T
Vitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.
Ila unaweza ni-PM your email nikakutumia
Nimekupata mkuu
 
Safi sana mkuu.

Una vitabu vya jamaa anaitwa Shad Helmstetter?? Kimoja kinaitwa SELF TALK SOLUTION kingine kinaitwa NEURO-PLASTICITY??
Kipo Mkuu kinaitwa What to say when you talk to yourself, na kinachohusiana na hiyo topic ya NEURO-PLASTICITY kinaitwa
Rewire Your Brain: Think Your way to a better life By John B. Arden. PM me your email.
 
Hello JF Members,
A mobile phone can be a surprisingly good companion for everyone who wants to have access to their eBooks all day long. Most of us don’t consider our phones as a serious e-reading device.

Nina collection kubwa ya Vitabu PEPE vilivyo katika formats za EPUB, MOBI na vichache katika PDF, nia yangu ni kuhamasisha usomaji vitabu hasa katika smart phones, tablet na PC.
I have Non-fiction and some few fiction eBooks.
cover%2048_zpsmvpmfcpm.jpg
[/URL][/IMG]
Jamesmute@gmail.com tuma hapo mkuu
 
Mkuu kwa kusaidia wengi ungeweka namba yako ya simu au email ili kwa kila anaehitaji kitabu akutumie SMS au Email ya jina la kitabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom