Vita zinazo endelea sehemu mbalimbali za Dunia hasa Africa

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,526
8,791
Kwa sasa nchi kama Kongo, Uganda, Somalia, Africa ya Kati, Sudani kusini na kwingineko kuna vita.
Ila ukweli ni kwamba hao waasi huwa sio vichaa, wana sababu zao za msingi kabisa za kuwafa ya wapigane, Sidhani kama wao ni wenda wazimu wapigane bila sababu.
Ukicheki Kongo ukienda nchi kama Africa yakati jamaa wana sababu za msingi kabisa zinazo wafanya kupigana.
Mambo kama upendeleo wa kijiogorafia au kikabila na kadhalika.
- Watu kadhaa kuneemeka na matunda ya nchi
- Udikiteta
- Ukisefu wa huduma za jamii.
- Watu kupuuzwa.

Haya ni machache kati ya mengi
 
Hakuna kingine zaid ya kulinda Maslahi ya fulani...
Hata haya ya hapa nchini ni Maslahi tu ndio yanayogambaniwa upande mmoja wabaya mwingine wazuri na waadilifu.. NI MUNGU PEKEE ATUONYESHE UKWELI WA JAMBO HILI
 
Back
Top Bottom