Vita ya Urusi na Ukraine, inathibitisha Mungu alifanya kazi katika anguko Donald Trump

Hakika Mungu yupo!

Tungeshuhudia Vita Kali ya Dunia, yenye maangamizo makubwa ya watu na Mali zao

Hali ya maisha ya watu ingekuwa ngumu Sana! Hakika Mungu wa Ulimwengu ametuokoa!

Huyu ndiye Mungu wa Ulimwengu, si yule Mungu wa baadhi ya Wana JF, ambaye Amemuua JPM na kila kukicha anapambana na akina Makonda na Sabaya!

Mungu huyu wa Wana JF wapumbavu ambaye asili yake Ni kulipia visasi kwa wanaohisi wanaonewa, Leo tungeshuhudia Putin amekufa kwa maana tayari amesababisha vifo vya wengi zaidi ya wale ambao wameuawa au kupotea tangu 2016!

Mungu hafurahishwi na vifo vya waovu, angependa waishi ili siku moja waongoke au waaibike kwa matendo yao
Mungu anawanusuru watu wengi bila kumuua yoyote, Kama alivyomuondoa Trump bila kumuua!

Enyi Wana Cha muwe wenye upendo, na si kujawa visasi hadi munaona Mungu naye anaishi sawasawa na mioyo yenu! Munatamani kila aliye kinyume chenu afe, Ndugai, Polepole, covid 19, Siro, na wengine ile muendelee kumtukuza Mungu wenu

Aaaaagh, come on!! Don't be silly!
Mungu wa Ulimwengu Ni mtakatifu Sana na mwenye rehema nyingi!!

Maendeleo hayana chama!
Nimetok kuskiliza audio book ya Stephen Hawking nimeona hii concept ya Mungu
inawachanganya sana watu.
 
Vita itakuja tuu lazima ku reshape order ya Dunia ,ni suala la mda tuu.
 
Huyu anamsifu mungu wa Lumumba aliyekuwa anateka watu na kuwaua aliyejaribu kumuua Tundu Lissu kwa risasi Mungu wa kweli akamuepusha na kifo matokeo yake akaondoka mwenyewe kupata haki yake kwa shetani.
 
Bangi sio nzuri, kwa matumizi ya binadamu na viumbe wengineo
 
Mungu wetu ni mwema nananatupenda sana watanzania kwa kuwa alituondolea yule dikteta wa Chato. Dikteta aliiba uchaguzi wote wa Serikali za Mitaa wa 2019, akaiba uchaguzi Mkuu wa 2020 kisha akaweka wabunge ambao wangempitisha awe Rais wa maisha mwaka 2025.

Ila Mungu akamuonyesha ukuu wake, hakuishi na uRais huo zaidi ya siku 114 kabla hajamtosa jehanam
 
Back
Top Bottom