Vita ya mgombea urais CHADEMA pasua kichwa wamo Sumaye, Nyalandu, Tundu Lissu na Freeman Mbowe

Lissu na Magufuli wanafanana kwa kila kitu, wanaamini wanavyoviamini wao. Kama Magufuli ameweza na kutengeneza kundi la kumsujudia na kulisha watanzania, basi hata Lisu ataweza sana. Tena uzuri Lissu yeye ataongea hata kiingereza.

Ha ha ha ha tena uzuri wa Lissu ataongea hata kiingereza Magufuli yeye kiingereza vipi?
 
CDM sio wa kuwaamini hata kidogo, utashangaa Lowassa anarudi alafu wanampa agombee tena, hawa jamaa hua wana last minute bomb explosion, unakaa muda mrefu unaona wana akili alafu ghafla wanaibuka na kulipua. Wampe Lissu agombee, Magufuli ana chance kubwa sana ila angalau Lissu anaweza leta competition kidogo, wengine wote hata kura 20% sidhani kama watafikisha, kufuli simpendi ila ukweli anakubalika sana kwa vilaza na masikini ambao ni wengi sana Tanzania.
 
kabisaaaaaa
 
Ha unalinganishaje nyeup na nyeus unataab mzee bibi
Lissu na Magufuli wanafanana kwa kila kitu, wanaamini wanavyoviamini wao. Kama Magufuli ameweza na kutengeneza kundi la kumsujudia na kulisha watanzania, basi hata Lisu ataweza sana. Tena uzuri Lissu yeye ataongea hata kiingereza.
 
Uhakika nilionao, Mbowe HAWEZI kugombea Urais. Sababu, anajua HAWEZI kuupata Urais. Na HAYUKO tayari kuacha kuramba asali ya Bungeni. Hivyo sasa, anachokifanya ni kuwaadaa wengine ndani ya CHADEMA ionekane ni fursa kuwa Mgombea Rais kupitia chama chake kisha ajitoe eti anawaachia wenye uwezo zaidi. Hapo ndipo wataingia mkenge.
 
Inadaiwa kuwepo na chimba chimba ya chinichini ndani ya Chadema ikiwahusisha wagombea watarajiwa wa nafasi ya Rais wa JMT.

Mzee Sumaye, Lazaro Nyalandu, Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanatajwa kutaka kuwania nafasi hiyo.

Source: Tanzania Daima!
Labda ni pasua kichwa chako, vya wengine viko vizuri mbona
 
Mlijaribu kumuuwa Lissu Mungu akamponya mkashindwa, sasa mnaanza character asassination kumdiscredit mtu aliyekuwa mbunge na Rais wa TLS.
Mmeona muda umekaribia mnaanza propaganda zenu za Lumumba.
Mmeisha chelewa ngoma ipo uwanjani, Lisu ni Pro wa Law na si mtoto, Atatupa katiba nzuri kisheria inayoeleweka ya kuongoza taifa letu bila udicteita.
 
Back
Top Bottom