Vita ya mgombea urais CHADEMA pasua kichwa wamo Sumaye, Nyalandu, Tundu Lissu na Freeman Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,847
141,769
Inadaiwa kuwepo na chimba chimba ya chinichini ndani ya Chadema ikiwahusisha wagombea watarajiwa wa nafasi ya Rais wa JMT.

Mzee Sumaye, Lazaro Nyalandu, Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanatajwa kutaka kuwania nafasi hiyo.

Source: Tanzania Daima!
 
Inadaiwa kuwepo na chimba chimba ya chinichini ndani ya Chadema ikiwahusisha wagombea watarajiwa wa nafasi ya Rais wa JMT.

Mzee Sumaye, Lazaro Nyalandu, Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanatajwa kutaka kuwania nafasi hiyo.

Source Tanzania Daima!

Sumaye na Nyalandu hawafai na cdm ikikosea ikawapitisha tutawachanganya kundi moja na mgombea wa ccm kuwananga hapa hapa jukwaani. Lisu anafaa japo akiwa rais atakuwa ni rais upande wa sheria zaidi kuliko uchumi. Hili tatizo la sasa la Magufuli la kujikita kwenye miundombinu tu huenda likawa la Lisu pia kwenye sheria tu. Mbowe nadhani hana degree hivyo yuko chini ya sifa stahiki. Hata hivyo siamini kama yeye anaweza kuwa rais mzuri, kwani na yeye ana tatizo la kung'ang'ania madaraka.
 
Bora sumaye awe Rais kuliko lissu

Lissu utoto mwingi

Mbowe hana degree hadi leo?!!!
 
Inadaiwa kuwepo na chimba chimba ya chinichini ndani ya Chadema ikiwahusisha wagombea watarajiwa wa nafasi ya Rais wa JMT.

Mzee Sumaye, Lazaro Nyalandu, Tundu Lisu na Freeman Mbowe wanatajwa kutaka kuwania nafasi hiyo.

Source Tanzania Daima!
Crap
 
Lissu ana akili za kitoto hana uwezo wa kuwa amiri jeshi

Kuanzia anavyoongea kwa mihemko,ananyoa viduku km yule jamaa wa korea,anashinda mapaja wazi

Yan ni taabu tupu
Lissu na Magufuli wanafanana kwa kila kitu, wanaamini wanavyoviamini wao. Kama Magufuli ameweza na kutengeneza kundi la kumsujudia na kulisha watanzania, basi hata Lisu ataweza sana. Tena uzuri Lissu yeye ataongea hata kiingereza.
 
Wote hao wanapoteza muda wao.

Kama wanataka wajidharaulishe ni kuweka mgombea eti asimame na JPM.

Kuna mambo mengine hayahitaji hata elimu kubwa kuelewa kuwa JPM anatakiwa apite bila kupingwa.
 
Tunakamilisha matakwa ya kidemokrasia tu mkuu

Sasa magufuli asimame na lissu
Nadhani magu atashinda 90%

Back
Top Bottom