Wanajiona watusi badala ya wakongo, wanajiona wanyarwanda badala ya wanyarwanda.Wahutu kutoka Rwanda ndio wanaitwa WAZALENDO wa Kongo halafu Watutsi wa Kongo wanaitwa Wanyarwanda huoni kama kuna TATIZO KUBWA hapo?
Watutsi wapiganie HAKI zao wasizubae Maadui ni WENGI.
Mkuu nimejaribu kukufafanulia lakini naona unachuki binafsi dhidi ya Watutsi.Wanajiona watusi badala ya wakongo, wanajiona wanyarwanda badala ya wanyarwanda.
Nakataa dhana kuwa wanabaguliwa kwasababu ni watusi, wajibaguwa wenyewe kwakujiona wanastahili zaidi kuliko wengine?.....
Sasa wewe unaye amin kuwa wanachukiwa kwasababu wana pua ndefu, really?. Hii sababu ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuikubali.Mkuu nimejaribu kukufafanulia lakini naona unachuki binafsi dhidi ya Watutsi.
Kumbuka Watutsi ni Waafrika wenzetu chuki dhidi yao hazisaiidii chochote sana zitaongeza mavita yasiyo na mwisho.
Mimi nimeishi huko na pia nimekaa Kongo DRC hata inafikia Wakongo wanaukataa UBANTU wa Watutsi na kama unakumbuka Mauaji ya Kimbari Rwanda Interahamwe walikuwa wakizitia Maiti haswa za Kitutsi Mtoni Akagera wanasema ili zirudi "kwao" Abisinia.Sasa wewe unaye amin kuwa wanachukiwa kwasababu wana pua ndefu, really?. Hii sababu ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuikubali.
Zipo sababu za msingi.
Yule Mzee ni Mti mkavu usiochimbwa dawa.Kagame kashindikana kabisa eneo hili la maziwa makuu. Naona apewe Urais wa eneo la maziwa makuu, atatulinda vizuri.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Zipo sababu za msingi na si mwonekano kuuliwa kwasababu ya pua ndefu nakataa. Kama pua ndefu na wahindi wanazo.Mimi nimeishi huko na pia nimekaa Kongo DRC hata inafikia Wakongo wanaukataa UBANTU wa Watutsi na kama unakumbuka Mauaji ya Kimbari Rwanda Interahamwe walikuwa wakizitia Maiti haswa za Kitutsi Mtoni Akagera wanasema ili zirudi "kwao" Abisinia.
Sasa tukianza kuulizana Asili hata Wabantu wametoke Afrika ya Magharibi
Tafadhali ndugu tembelea hiyo Mitaa ukajionee mwenyewe.Zipo sababu za msingi na si mwonekano kuuliwa kwasababu ya pua ndefu nakataa. Kama pua ndefu na wahindi wanazo.
There must be a reason behind.....Tafadhali ndugu tembelea hiyo Mitaa ukajionee mwenyewe.
Mimi sio kwamba naongea tu nimekuwa nikiwauliza Wadau wa Kitutsi Rwanda Burundi na Congolee Wadau wa Kihutu Rwanda Burundi na Kongo.
Nina Marafiki wengi wengi kweli kweli mitaa hiyo.
Muda umefika sasa sisi Waafrika tukae chini tutatue Migogoro yetu bila CHUKI wala UBAGUZI.
Pale pana samjo samjo sana.Kwamba ww unataarifa kuliko raisi wa nchi ya burundi?
Taarifa za jeshi ni siri, we Uganda umeipimaje?
Punguza kushinda karume pale kijiweni
Na huyu Rwanda tunaembiwa ana nguvu sana, aliwahi kupigana na nani hadi Burundi itishiwe asimjaribu? Isije ikawa ni Rwanda ndio inaogopa hivyo inachezesha propaganda za kuogopwa?Umemuandika Ndayishimiye kama mtu binafsi zaidi na sio kama Rais aliyeapa kuilinda Burundi.
Wasi wasi wako mkubwa upo kwenye Urais wake na sio Burundi.
Uenda, hana uchungu na urais wake kuliko Nchi yake.