vita ya makabila

vita ya makabila

murray esten

Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
5
Reaction score
0
kiukweli leo nimeona kitu cha ajabu,nilikuwa nasikia lakin leo nimeshuhudia mwenyewe wanyamongo na wanyabhasi wanataka kupigana,ni panga nje nje na nina mshukuru mwenyez MUNGU tumepita salama kwani wamefunga barabara wafanye msako wa abiria waliopakiwa katka magar
 
?????????????????

.... bado wanakukimbiza?
 
Back
Top Bottom