Mchovu kwenye nini maana tuliona mtu amepiga pushup lakini bado vita ya kiuchumi ikampitiaYa kiroho kama mchovu umekwisha
Unamasihara wewe-Hakuna vita ngumu kama vita vya kiroho,Hata YESU uliyemtaja hakuishinda kirahisi kihivyo.Umaskini mwinginge wa mtu huwa unaanziaga rohoni 🤣 🤣Hiyo yakiroho unashinda kwa jina la yesu tu. Vita ya kiuchumi ndo vita ngumu kuliko vita zote