ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 4,452
- 11,373
Msemaji wa serikali ya Israel amesema kuwa anahitaji mwaka mzima wa 2024 ili waweze kuishinda Hamas.
Israel imetangaza kuondoa kiasi kikubwa cha wanajeshi ndani ya gaza ili kurudi Israel kwa ajili ya kujipanga upya, wachambuzi wanasema hatua hiyo ya Israel ni kutokana na hasara ya vifaa vya kijeshi,vifo na majeruhi kuongezeka kuliko kawaida na upinzani usio wa kawaida walio upata kutoka kwa wapiganaji wa kipalestina.
Hata hivyo hatua hiyo ya Israel ina wapa faida zaidi wapiganaji wa kipalestina maana watapata muda mwingi wa kupumzika baada ya siku 86 za mapigano makali na wataweza kujaza hifadhi ya silaha zao kwa ajili ya mapambano ya muda mrefu.
Pia kumeripotiwa mgawanyiko kwenye baraza la vita lililo undwa na Netanyau hatua iliyo pelekea Netanyau kumfuta kazi waziri wake wa mambo ya nje.