stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,896
- 15,804
Katika vita zote marekani hua anaingia na lengo tafauti na jinsi anavotaka ulimwengu waamini, kwa mfano MADURO alitolewa madarakanikwa sababu anauza mafuta kwa china, IRAN ndo muuzaji mkubwa wa mafuta kwa CHINA
Ukiangalia vita zingine kwa mfano IRAQ kisingizio ni "WEAPONS OF MASS DESTRUCTION" of which baada ya vita hizo weapons hazikuwahi kupatikana, Marekani wanasema IRAN wanamtambo wa mabomu ya NUKLIA lakini bado hakuna ushahidi wowote wa maabara zinazokausha uranium, Mara ya mwisho walituma B2 bombers wakasema wameangamiza maabara zote za NUKLIA but now wamerudi tena, kwa lugha nyepesi ni proxy war na CHINA claims zao zote walizotoa hazina mashiko
Claims zingine ni kama: Uongozi wa ayatollah, yote haya ni sababu zisizo na msingi