Vita ya Dawa za Kulevya: Steve Nyerere alivyopiga kambi Bungeni Kumuokoa Wema Sepetu

HAWA NDIO ALIOKUTANA NAO STEVE NYERERE AKIWA DODOMA KUMUOKOA WEMA
  1. GOODLUCK MLINGA
  2. MWIGULU NCHEMBA
  3. NAPE NNAUYE
  4. FREEMAN MBOWE
  5. ZITTO KABWE
  6. MTOTO WA DITOPILE
  7. AMEMPIGIA JAKAYA SIMU KUOMBA AMUOKOE WEMA
  8. KAKUTANA NA MAMA SAMIA KUOMBA SERIKALI ISIMSULUBU WEMA
Nilichojifunza ni kwamba, Bunge sasa linaendeshwa na Wasanii
Aibu sana
 
Mimi ndio nashangaa, tuna watu wanafiki sana utadhani wao ni watakatifu.

Kama waliona wanamuhitaji Wema 2015 iweje leo baada ya kupata walichotaka ionekane hana thamani tena? kama hawakumuhitaji si wangeachana naye?

Mimi sio shabiki wa Steve ila hapa namuunga mkono kwa alichofanya, kwani ndicho hicho hicho alikifanya wakati wa kutafuta kura 2015.

Mh Nape, Mwigulu, Mama Samia na wengine kumsikiliza Steve ni uungwana wa hali ya juu, na sio kumtupa leo wakati walimuhitaji vivyo hivyo 2015....na kama hawahitaji tena msaada wa Wasanii basi waamue hivyo na ifikapo 2020 tusione wanahangaika nao.
Hivi kama mtu alikisaidia Chama Cha Mapinduzi wakati wa uchaguzi ndio iwe halali yake kuvunja sheria za nchi?!! Kama tuhuma dhidi yake juu ya kupush unga hapo mjini ni za kweli, we unaona ni sawa tu serikali ikae kimya kisa alisaidia chama?! Hujaangalia athari za hayo madawa kwa vijana! Hujatathmini ongezeko la watumiaji madawa ya kulevya hapa nchini! .. umeona chama tu?!!! Acheni kutetea uozo.
 
Mama Sepenga ndo karekodi zile coz kuna clip ameaanza kurekodi tangu anapiga cm na kama umesikiliza kwa makini utasiki notification sound za cm yake, na kama ulikiwa makini kusikiliza mama sepenga alikuwa anaogapa kufunguka wakati Steve alikuwa anafunguka tu akiamini its private, Binafsi ile sio tabia nzuri kabisaaa kama una akili timamu huwezi weka voice note kama zile hewani, i guess now its like Mother like daughter, they can't keep secrets, they can't shut there mouth. Hapo mama amemsacrifice Steve kwa ajili ya kumsafisha ya mtoto wake. I believe kulikuwa na other way other than this Mama Sepetu, u could think a bit harder now, wema unamponza Steve
.
Am sure Steve alitaka hii iwe private na ndo maana alienda huko Dodoma kimya kimya na kwenda kuongea na hao aliongea nao kimya kimya ili aweza kumsaidia, Siamini kama Mama Sepetu hakuwa na ufaham wa kujua kuwa mambo aliokuwa anaongea na Steve yangetakiwa kuwa privacy alikuwa anafaham vizur tu bt she didn't care.
Unaweza kuwa sahihi... lakini nadhani huyu mama alimtumia Wema hii makitu ili arudishe imani yake kwa Steve. Sasa Wema labda naye akaiforward kwa mashosti zake...

Kuna mengi ya kutafakari kwenye hii ishu... mi angalau sasa nimewajua viongozi wetu ni namna gani walivyo... kumbe ni wepesi sana kuliko nilivyokuwa nadhani...

Twafwaa....
 
M
NCHI &UONGOZI HUU UMEJAA MAJUNGU FITNA ....CHKI......VISASI .....UMBEAAA.. NDICHO NAKIONA!
KWA STYLE HII MSITEGEME VIWANDA KUJA KAMWEEE

OVA
Mpaka sasa kwa mujibu wa takwimu vimejengwa viwanda elfu hamsini na mbili, na hii ni ndani ya miaka miwili, piga hesabu baada ya miaka kumi,!! Kidumu chama
 
Boss idawa, ili Fumbo na Kitendawili ni Kigumu kukitegua aisee, Wewe umewatoa Mama Wema na Steve, unafikiri labda ni Watu wa Simu au TCRA au Usalama.

Haya tusubiri Wadau wengine Wanasemaje.

Siamini kuwa yule mama ama Stev anahusika....
Hii Audi kama sio watu wa mtandao wowote wa simu uliohusika itakuwa TCRA ....Kama sio wote hao basi kitengo kinahusika....elewa kuna nguvu nyingi ya kumnusuru mkuu wa mkoa na hili tope.
 
Back
Top Bottom