kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,893
- 2,806
Sasa hivi ninavyozungumza polisi wamezunguka kambi ya wanajeshi iliyopo mitaa ya Shangani. Muda mchahe uliopita polisi walijaribu kumkamata askari wa JWTZ na kuambulia kichapo kikali sasa magari karibia yote ya polisi Mtwara yameeizunguka kambi ya jeshi. Hapa serikali isipoingilia nafikiri bifu litaendelea mikoa yote! Ila polisi ndio wachokozi
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums.